Chumbageni
Member
- Oct 27, 2010
- 94
- 23
haya mtajiunga halafu what will you talk about? what construction is taking place there? the new airport? and the when it's finished? what will you talk about again?
haya mtajiunga halafu what will you talk about? what construction is taking place there? the new airport? and the when it's finished? what will you talk about again?
Asante mkuu,chamoto mkuu nimeona mambo yako kule ya viboko, duuu nilidhani mawe mkuu, teh teh, kazi nzuri sana mkuu, tukipata uhuru kule lazima uongoze sekta nyeti, au unasemaje?
sijui kwa nini wanaitwa viboko mkuu, nilitembelea blog ya tembeatz.blogspot.com, basi kule nikakuta wanyama wana majina mbalimbali mbali na yao ya kawaida, mfano tembo anaitwa masikio, chui anaitwa wa juu, simba anaitwa manywele, teh teh, inapendeza, kama vipi nawe kachekiAsante mkuu,
Hivi ni kwanini wanaitwa viboko, unajua sababu yake?