Mkuu tumia akili ndogo tu Ku reason hapa. Kama Tanzanian's drs watakubali maana ake kuba uwezekano mkubwa kuuwawa ndo maana MAT imesema mpaka mgogoro wao uishe. Mmesoma shule gani nyinyi?Ndio baadae Watanzania watakuja kusema ajira za shida wakati Neema hiyo imemwagwa. Huu ulikuwa wakati wa madaktari wetu kushukuru Mungu na saa wangekuwa wako Kenya
Ni jambo la busara kwa madaktari wa Tanzania kuungana kiundugu na hawa wa Kenya, lakini huu mgomo umepitiliza, wengi tuliunga mkono na tukakubali kuumia ili madaktari washughulikiwe kimaslahi, lakini wasemavyo watalaam 'too much of something is dangerous', huu mgomo umekua kero sasa...twafa.
Nafikiri kama sijaelewa vizuri na nipo tayari kusahihishwa, ni kwamba madaktari wanataka kima cha chini cha daktari kiwe Ksh300,000 (Tshs 6,600,000) Lakini serikali imesema kwa sasa uwezo wake ni kwamba daktari wa chini alipwe Ksh.196,989 (Tshs 4,333,758)
Sasa hapo fahari wawili, tutaumia sisi hadi tukome maana viongozi hawana matatizo wao wana hela, wanakimbia kwenda Afrika Kusini na Ulaya kila wakipata mafua.
Huyo kiongozi wa chama cha madaktari Tanzania, Elisha Osati Otieno ni Mjaluo kwa hiyo huenda kapandikizwa sumu dhidi ya serikali ya Uhuru.
Damu nzito kuliko maji.Hehehe! Ina maana makabila ya Tanzania yaliyo na ndugu Kenya yameingia kwenye ukabila na ndugu zao....
Anyway hili la madaktari halina ukabila wala nini, maana madaktari waliogoma wapo hata Ukikuyuni na pembe zote za nchi.
Wanasiasa watataka kupindisha na kuleta mambo yao ya siasa za kikabila lakini hilo halipo, hao madaktari wanafuata maslahi yao ya kikazi na wana hizo haki, tatizo ni pale huu mvutano umepitiliza hadi raia tunaumia na kuanza kuwachukia hao madaktari.
Ni jambo la busara kwa madaktari wa Tanzania kuungana kiundugu na hawa wa Kenya, lakini huu mgomo umepitiliza, wengi tuliunga mkono na tukakubali kuumia ili madaktari washughulikiwe kimaslahi, lakini wasemavyo watalaam 'too much of something is dangerous', huu mgomo umekua kero sasa...twafa.
Nafikiri kama sijaelewa vizuri na nipo tayari kusahihishwa, ni kwamba madaktari wanataka kima cha chini cha daktari kiwe Ksh300,000 (Tshs 6,600,000) Lakini serikali imesema kwa sasa uwezo wake ni kwamba daktari wa chini alipwe Ksh.196,989 (Tshs 4,333,758)
Sasa hapo fahari wawili, tutaumia sisi hadi tukome maana viongozi hawana matatizo wao wana hela, wanakimbia kwenda Afrika Kusini na Ulaya kila wakipata mafua.
Aki of all the places Kenya gov walionawatafute replacement waliona Tanzania, no offence but hio haiwezekani
I will support kenya not getting a single doctor from outside. both parties are equally to blame. dont make look like the govt is the angel here. Too much of everything kwa pande zote!!! The current govt is among the most dishonest kupita zote. you tell people eti kama president kazi yako ni kutia sahihi .sheria kutoka bungeni, kweli lakini why do presidents have the power of veto. to guard the peoples interest bunge bunge wakidhulumu wananchi! dont play helpless president when kenyans are dying of hunger na president na wezi wenzake bungeni wanapata posho mara 15 zaidi ya economy ya kenya inaweza kuwalipa kulingana na ripoti ya benki kuu!!! nonsense from our govt!!

Wacha kupasuka pasuka ovyo, hamna sehemu nimetetea serikali, nimesema too much of something is dangerous, mgomo huu umepitiliza na tumeumia kiasi kwamba wengi wetu hatuna haja tena ya kujua nani wa kulaumu wala nini. Iwe rais au madaktari, juzi hata magavana wa upinzani wote waliungana na wa serikali katika kuwaponda na kuwafuta madaktari, mbona huyo Kalonzo wako au hata Raila hakukataza magavana wake, unafiki wa ovyo ndio zenu.
Cha msingi tumechoka kama raia maana viongozi wakipata mafua tu, wanakwenda Ulaya hawana muda na utaalam wa nyumbani, hata huyo Raila sasa hivi binti yake yupo Afrika Kusini anapata matibabu na hana shida yoyote hata mkigoma hadi Yesu arudi.
Kwa hivyo mara nyingi huwa nakuambia tumia ubongo na sio kuandika kwa mihemko ukitumia herufi kubwa kusudi umeambiwa na viongozi nini cha kusema.
Dont expect Tanzanian doctors to say YES, on such a phenomenon........ They are full of fear..