massmedia50 Member Joined Sep 19, 2013 Posts 38 Reaction score 5 Aug 9, 2016 #1 Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo kilimo hufanyika vijijini lakini maonyesho ya nane nane hufanyika mijini tena mkoani na wanaotawala maonyesho hayo kwenye media ni viongozi wenye nyadhifa kubwa ambao sio wakulima. Think Big.
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo kilimo hufanyika vijijini lakini maonyesho ya nane nane hufanyika mijini tena mkoani na wanaotawala maonyesho hayo kwenye media ni viongozi wenye nyadhifa kubwa ambao sio wakulima. Think Big.
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,263 Aug 9, 2016 #2 Umeshaambiwa kwa sasa Tanzania ni ya Viwanda...hivyo nyie wakulima mtajijua.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Aug 9, 2016 #3 mwanga lutila said: Umeshaambiwa kwa sasa Tanzania ni ya Viwanda...hivyo nyie wakulima mtajijua. Click to expand... Hizo ni THEORY tu mkuu..
mwanga lutila said: Umeshaambiwa kwa sasa Tanzania ni ya Viwanda...hivyo nyie wakulima mtajijua. Click to expand... Hizo ni THEORY tu mkuu..