Kwa kuongezea,Sidhani, anatakiwa awe wa proffesion yoyote ila awe anawasikiliza wataalamu kwa vitu asivyokuwa na utaalamu nao...kuna mwingine alisema tunahitaji rais aliyesomea uchumi, mwingine aliyefanya biashara,
Yaweza kuwa ni wazo jema ila ninavyofahamu mm, wanasheria ni very mechanical ktk kuongoza. Kama umeshauri hivyo kwa kigezo cha Elimu mm nafikiri Mhasibu anafaa zaidi kwasababu mitaala yao imegusa maeneo mengi;labda naye afanye kusudi kutulaKutokana na hali halisi,
Chanzo cha Umaskini na Wizi ni mikataba mibovu, sera ya uwekezaji ni nzuri ila tumepata wawekezaji wabovu na wametufunga na kutusainisha mikataba mibovu hasa kwenye sector ya madini,gesi na rasilimali mbali mbali na hivyo kujikuta Nchi ni Maskini,...na mpaka sasa mikataba hiyo mibovu itaendelea kututafuna miaka 1000 na Siku zote sisi ni mabingwa wa kushindwa kwenye kesi za kimataifa, Tanzania tunahitaji Rais mwanasheria Infuture
View attachment 515159
Mwanasheria na mwenye akili km Tundu Lissu, wanasheria wote hawana akili, wapo wajinga wengi tuKutokana na hali halisi,
Chanzo cha Umaskini na Wizi ni mikataba mibovu, sera ya uwekezaji ni nzuri ila tumepata wawekezaji wabovu na wametufunga na kutusainisha mikataba mibovu hasa kwenye sector ya madini,gesi na rasilimali mbali mbali na hivyo kujikuta Nchi ni Maskini,...na mpaka sasa mikataba hiyo mibovu itaendelea kututafuna miaka 1000 na Siku zote sisi ni mabingwa wa kushindwa kwenye kesi za kimataifa, Tanzania tunahitaji Rais mwanasheria Infuture
View attachment 515159
rahisi = RaisTanzania tunahitaji rahisi anaejitambua na kujielewa.
Anaweza kuwa dictator, mwanasheria, msomi, mkandarasi n.k ila kama hajui kwanini yeye ni rais na anatakiwa afanye nini, haitatusaidia kitu.
Tangu lini tundu lissu akawa na akili za kuongoza nchiMwanasheria na mwenye akili km Tundu Lissu, wanasheria wote hawana akili, wapo wajinga wengi tu
Dictator uchwalaMlisema wakati wa kikwete tunataka Rais kijana mungu akawapa baada ya miaka 10 nchi ikawa shamba la bibi, baadae mkasema sasa tunahitaji Rais dictator mungu akawapa Dr Magufuli hata hajamaliza miaka 5 tunataka tena Rais mwanasheria ...ukiangalia mambo yote magufuli anayofanya yalisha zungumziwa bungeni miaka mingi ila yaliwekwa kapuni ukiangalia Rais wetu anacho fanya matokeo yake sio leo .....nikesho hata ukileta mwanasheria kama akina Lisu hao wote wamebarikiwa kuongea ila vitendo check kwenye majimbo yao...Ushauri wangu tumwache Rais aendelee na vision yake nasie tubadilike kifikra ili tujitambue thamani yetu kwanza ....tz tuna bahati kwa haya yote anayo fanya Mheshimiwa Rais, kwa nchi za Afrika kwa sasa sio rahisi kwa kiongozi kufanya anayo fanya Rais kwani kila mtu africa anamapembe huwezi mwabia kitu...magufuli piga kazi tuko pamoja..
Anayeongoza sasa hv aliipata lini hiyo akiliTangu lini tundu lissu akawa na akili za kuongoza nchi