Kama maelezo yaliyoko kwenye hiyo link hujayaamini, basi inabidi uwe kama tomaso, uone kwa macho kwanza!Mmmh hii habari inahitaji Maelezo ya ziada kuiamini, Tanzania bado sana
KwikwikwikwikwiiiiiiThere are only two African countries who own a satelite, the rest are just sheep..
Kenya to launch space centre
Kwikwikwikwikwi nimeecheka sana na maigizo ya wakenya. Dah!! wakenya kwa kuigiza noma sana.Sasa hebu niambie Italy wamewahi kurusha satellite?The Luigi Broglio Space Centre (BSC ) is an Italian-owned spaceport near
Malindi , Kenya , named after its founder and Italian space pioneer Luigi Broglio .[1] Developed in the 1960s through a partnership between the
University of Rome La Sapienza 's Aerospace Research Centre and NASA , the BSC served as a spaceport for the launch of both Italian and international
satellites (1967-1988). The centre comprises a main offshore launch site, known as the San Marco platform , as well as two secondary control platforms and a communications
ground station on the mainland.
Launch site San Marco platform
Location Malindi , Kenya
Coordinates 2°56′18″S
40°12′45″E /
2.93833°S 40.21250°E
Operator Italian Space Agency
(formerly Sapienza University of Rome and NASA )
Total launches 27
Launch pad(s) 2
Min / max
orbital inclination 2.0–3.0° [ citation needed]
San Marco launch history
Status Inactive
Launches 24
First launch Scout B , 26 April 1967
Last launch Scout G-1 , 25 March 1988
Associated rockets Scout
Apache
Nike Tomahawk
Tomahawk
Arcas
Black Brant
Astrobee
Santa Rita launch history
Status Inactive
Launches 3
First launch Apache, 25 March 1964
Last launch Apache, 2 April 1964
Associated rockets Apache
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua L enda kaa kwa korna yakoKwikwikwikwikwi nimeecheka sana na maigizo ya wakenya. Dah!! wakenya kwa kuigiza noma sana.Sasa hebu niambie Italy wamewahi kurusha satellite?
Wewe umewahi kuona mTZ yupo kwenye JamiiForums.com? Mbona wewe umekuja na kujiunga kwenye social network ya watanzania. Huoni kwamba unataka kujulikana?Lakini hawa waTanzania na their inferiority man. Yaani mpaka they post their news here ndio sisi wakenya tuwanotice haha
Kwikwikwi yani unanichekesha kabisa.Lol
Mkae huki mbali mnyamaze ..kenya mwaka huu ulitangaza kuunda NASA yake kama ile ya Marekani
Wakenya wamekuwa wakifanya kazi pamoja na Italia kujifunza mambo ya space
The 64-kg X-ray satellite Uhuru launched off the San Marco platform on Jamhuri Day 1970. It was built by NASA, and would be the first American spacecraft launched by another country. Its name, which means freedom in Kiswahili, was not accidental. Its official name was Small Astronomical Satellite-1 (SAS-1). It was supposed to be launched in early December but a battery failure delayed the launch. The next sensible date, which was a Saturday, also happened to be Kenya’s independence anniversary.
Satelite UHURU launching from Malindi on Jamhuri Day 1970 above
Sent using Jamii Forums mobile app