unatakiwa kuelewa maana ya utani wa jadi, tutapambana wee na kutukanana lakini ukweli ni kwamba sote tu wamoja. kenya ikipata maendeleo makubwa yataifaidisha/yataiamsha kiuchumi hata tz jirani yake, and vice versa. hivyo kurushiana maneno ni utani wa jadi sawa na simba na yanga tu lakini sote tu watz.Mbona hii mumeipiga kimya, sijaona malalamiko dhidi ya Kenya.
Mimi nimesema mara kadhaa sasa, kwamba Wabongo tumepakana na nyie na kwamba mtatuchukia na hadi mwishoye mtachoka na kukubali yaishe tupige deals. Sisi Wakenya hatubanduki, hatushuki na hatuendi popote, tutapumuliana hadi mwisho.
Miradi hii yote lazima tuifanye pamoja kwa ajili ya maisha ya baadaye ya vizazi vyetu. Barabara na reli zitaungana, umeme vile vile, hatoki mtu.
Hilo dili lina faida kila upande. Sie hatuna shida na wakenya, tuna shida na program zenu za kichinichini zinazozingatia maslahi yenu peke yenu. Mbona kuna mambo mengi tunafanya kwa kushirikiana na hatuna shida nayo? Tatizo linakuja pale mnapotaka tukubali kila mnachokitaka wakati sie hatuna maslahi. Tuvumiliane tu ujirani hauwezi kuisha, tutanyooshana kidogokidogo mpaka mtatuelewa.Mbona hii mumeipiga kimya, sijaona malalamiko dhidi ya Kenya.
Mimi nimesema mara kadhaa sasa, kwamba Wabongo tumepakana na nyie na kwamba mtatuchukia na hadi mwishoye mtachoka na kukubali yaishe tupige deals. Sisi Wakenya hatubanduki, hatushuki na hatuendi popote, tutapumuliana hadi mwisho.
Miradi hii yote lazima tuifanye pamoja kwa ajili ya maisha ya baadaye ya vizazi vyetu. Barabara na reli zitaungana, umeme vile vile, hatoki mtu.
unatakiwa kuelewa maana ya utani wa jadi, tutapambana wee na kutukanana lakini ukweli ni kwamba sote tu wamoja. kenya ikipata maendeleo makubwa yataifaidisha/yataiamsha kiuchumi hata tz jirani yake, and vice versa. hivyo kurushiana maneno ni utani wa jadi sawa na simba na yanga tu lakini sote tu watz.
Mbona hii mumeipiga kimya, sijaona malalamiko dhidi ya Kenya.
Mimi nimesema mara kadhaa sasa, kwamba Wabongo tumepakana na nyie na kwamba mtatuchukia na hadi mwishoye mtachoka na kukubali yaishe tupige deals. Sisi Wakenya hatubanduki, hatushuki na hatuendi popote, tutapumuliana hadi mwisho.
Miradi hii yote lazima tuifanye pamoja kwa ajili ya maisha ya baadaye ya vizazi vyetu. Barabara na reli zitaungana, umeme vile vile, hatoki mtu.
Hakuna undugu wala utani wa jadi, hao jamaa ni kupe.

Kenyan's could be the most deranged people, while they boost of being industrial producers of chewing gums and candies they can not generate enough food to feed themselves for a even a single one year.
they are a hunger stricken country.
Usiongozwe sana na tumbo wewe, half of our country is arid, so there are times we have to buy food from Tanzania. Shida ya Mswahili huwaza tu chakula, there are other means of developing without depending too much on our farms.