Nimeitwa interview alhamisi tarehe 12 june 2014 tanzania postal bank, post ya credit officer group lending. Jamani wanalipa kiasi gani kwa hii post?? Salary na allowance?
Thanks
Salary gross 176,879/= allowance ni kama ifuatavyo
1.chai bure vitumbua vya kwako
2.tshirt ya kuvaa jmosi bure
3.kupigwa gemu na meneja kama wewe ni demu
4.kupewa diary bure
Salary gross 176,879/= allowance ni kama ifuatavyo
1.chai bure vitumbua vya kwako
2.tshirt ya kuvaa jmosi bure
3.kupigwa gemu na meneja kama wewe ni demu
4.kupewa diary bure
Zakuambiwa, chanya na zako, ila sijaelewa kama mtu ukiitwa kwenye interview ndio unakua tayari umepata kazi au kuna maswali ktk interview yanayoendana na mshahara utakao lipwa baadaye?
Salary gross 176,879/= allowance ni kama ifuatavyo
1.chai bure vitumbua vya kwako
2.tshirt ya kuvaa jmosi bure
3.kupigwa gemu na meneja kama wewe ni demu
4.kupewa diary bure