N nash koba Member Joined May 9, 2012 Posts 47 Reaction score 6 Apr 6, 2014 #1 Wapendwa, naomba kujuzwa kwa mwenye any updates kwa post walizotangaza (12th February, 2014) hawa jamaa wa TPB walisha ita watu kwa ajili ya interview au tayari people zipo kazini? kwa anaejua. nawasilisha
Wapendwa, naomba kujuzwa kwa mwenye any updates kwa post walizotangaza (12th February, 2014) hawa jamaa wa TPB walisha ita watu kwa ajili ya interview au tayari people zipo kazini? kwa anaejua. nawasilisha
A annabrenda JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 1,142 Reaction score 399 Apr 6, 2014 #2 Nina rafiki yangu aliitwa kwenye hiyo interview wiki moja imeshapita
mama jason Member Joined Sep 6, 2013 Posts 40 Reaction score 2 Apr 7, 2014 #3 Kuna mhusika wa hapo kaniambia wameita baadhi ya post ila hizo za customer service bado