Hakuna jipya zaidi ya maneno matamu yaliyojazwa humo. Nina uhakika wabunge wa CCM hawajui hata kumeandikwa nini huko.
Hadi sasa mnatakiwa muwe mmeshatimiza 20% ya huo mpango. Ila nnavyoona mmetimiza -70% ya huo mpango wenu.
Fedha mtatoa wapi wakati mapato yanashuka? Uchumi unayumba?