Kuna sheria tulitunga kipindi ambacho tulikuwa hatuna uelewa wa kutosha(wajinga) au zilitufaa kufanikisha malengo ya wakati huo.
1.Sheria ya uzembe na uzururaji. Kwasasa dunia inataka uchumi wa 24/7 na watu wote si wakulima wa kulima mchana. Unakuta polisi wanamkamata mtu anayecheza bao asubuhi kwa kutumia hii sheria. Zamani ilisaidia watu kwenda mashambani ila kwasasa haitufai.
2. Kumfunga/kumshtaki mtu aliyejaribu kujiua. Japo haitumiki kivile ila ni kukosa uelewa kumshtaki mtu anayejaribu kujiua.
3.Sheria ya kukataa mgombea binafsi. Dunia ya sasa inataka mawazo huru yasiyofungamana na mavyama.
4...............