I've seen the update earlier ....I think it's simply because we are in LDC so maybe when we grow things will change thereafter
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sijakataa ...acha ujinga ww, hebu kubali tu ukweli,
Sasa kama gharama ya data Bongo ipo chini mbona basi penetration ipo chini hivyo, Wabongo bana ubahili wa kiujamaa. Mnataka hadi mpewe bure, kila kitu mnashushiwa bei lakini bado mnalia. Huyo Fastjet kashusha nauli hadi utadhani mabasi ya Mwanza lakini wapi mandege anarusha yakiwa nusu, juzi DART wameibuka na vilio.
Wakenya wanaotumia internet wapo 31,985,048 penetration ya 68.4% data hii hapa Africa by Country Internet Stats and 2016 Population
Ilhali Wabongo pamoja na kwamba gharama imeshushwa lakini wapo 7,590,794 penetration ya 14.5%
Muache ubahili!!!! Tumia hela Mtanzania wacha kuficha kwenye magodoro...
Duh, ndivyo ulivyofikiria mkuu???I've seen the update earlier ....I think it's simply because we are in LDC so maybe when we grow things will change thereafter
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sasa kama gharama ya data Bongo ipo chini mbona basi penetration ipo chini hivyo, Wabongo bana ubahili wa kiujamaa. Mnataka hadi mpewe bure, kila kitu mnashushiwa bei lakini bado mnalia. Huyo Fastjet kashusha nauli hadi utadhani mabasi ya Mwanza lakini wapi mandege anarusha yakiwa nusu, juzi DART wameibuka na vilio.
Wakenya wanaotumia internet wapo 31,985,048 penetration ya 68.4% data hii hapa Africa by Country Internet Stats and 2016 Population
Ilhali Wabongo pamoja na kwamba gharama imeshushwa lakini wapo 7,590,794 penetration ya 14.5%
Muache ubahili!!!! Tumia hela Mtanzania wacha kuficha kwenye magodoro...
Nipo nje ya mstari sana nn?Duh, ndivyo ulivyofikiria mkuu???
Bila kuikandia Tanzania huna amani kabisa sio?Sasa kama gharama ya data Bongo ipo chini mbona basi penetration ipo chini hivyo, Wabongo bana ubahili wa kiujamaa. Mnataka hadi mpewe bure, kila kitu mnashushiwa bei lakini bado mnalia. Huyo Fastjet kashusha nauli hadi utadhani mabasi ya Mwanza lakini wapi mandege anarusha yakiwa nusu, juzi DART wameibuka na vilio.
Wakenya wanaotumia internet wapo 31,985,048 penetration ya 68.4% data hii hapa Africa by Country Internet Stats and 2016 Population
Ilhali Wabongo pamoja na kwamba gharama imeshushwa lakini wapo 7,590,794 penetration ya 14.5%
Muache ubahili!!!! Tumia hela Mtanzania wacha kuficha kwenye magodoro...
Si nyie mumeweka hii taarifa kwa Kenyan news ili kututambia. Maana mlijua mkiiweka kule waliko Watanzania wengi mtatukanwa sana.Bila kuikandia Tanzania huna amani kabisa sio?
Nyie ukimaanisha mimi na akina nani?Si nyie mumeweka hii taarifa kwa Kenyan news ili kututambia. Maana mlijua mkiiweka kule waliko Watanzania wengi mtatukanwa sana.
Sasa inabidi tuwakumbushie na kuwashauri tu sio kuwakandia.