Mjadala wowote wa kisomi auliojaa mikakati ya kuidhibiti China na bidhaa zake sioni kama ni mjadala wenye manufaa kwa nchi yetu. Sidhani kwa msomi ambaye yupo serious anaweza kutengeneza sera za kuidhibiti nchi nyingine. Busara nayoiona ni kutengeneza sera za kulinda wakulima wetu dhidi ya haramia yeyote yule, awe China au EU.