Tanzania: Everyone is scared

Mbuzi zamani walikuwa hawana mchungaji, kuna wapuuzi eti waliwahi kumuambia rais aliyechaguliwa kihalali kuwa watafanya nchi isitawalike. Sasa hivi wanachungwa na kuchungika wakitoka nje ya mstari ni viboko. Heshima imekaa mahala pake.
Mtaje mmoja aliyewahi sema hivyo
 
Your English is also very basic and low level...you could have as well drive your point home by writing Kiswahili.
 
Mtusaidie kuandika andika kwa lugha hii ya kindengereko angalau wenzetu waliko ughaibuni wajue tunavyopata tabu hapa nyumbani.
Kuna watu wamenunua nchi sisi tumo kwenye nchi waliyonunua wanafanya kila watakachoiisikia kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…