Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 72 Oct 29, 2011 #1 Jamani kwenye tovuti ya freemedia.co.tz inaonekana gazeti la tanzania daima linauzwa kwa shilingi 400/=, lakini mtaani linauzwa shilingi 500/=. tunaibiwa au ndo usanii?
Jamani kwenye tovuti ya freemedia.co.tz inaonekana gazeti la tanzania daima linauzwa kwa shilingi 400/=, lakini mtaani linauzwa shilingi 500/=. tunaibiwa au ndo usanii?