Noiroberry,
..sasa mmeishaambiwa kwamba hali ni mbaya huku Tanzania kwamba migogoro/magomvi kuhusu ardhi yamekuwa mengi. Given the situation, kwanini mnaendelea kulilia tu kwamba Tanzania ifungue ardhi yake kwa kila mtu??
..halafu Uganda,na Rwanda, wana scarcity kubwa ya ardhi kuliko nyinyi wa-Kenya, lakini wao wamekaa kimya wameridhika na uamuzi wa Tanzania. Nyinyi wa-Kenya kinachowasumbua ni nini?
..kama wananchi wa Kenya wanashida na ardhi taifisheni kama alivyofanya Mugabe kwa ardhi yake.
NB:
..Tanzania haiwezi kuwa isolated. NEVER!!
..Tunapaka na Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi, DRC,Malawi,Mozambique,na Zambia.