Tanzania among top 10 Places to Invest in Africa 2018

Sometimes before you comment things try to rethink twice, the way you argue it seems you don't know what is going on here in our country. When you read careful the reporter he/her has point on it. It's better the government to use the think tanker who can take some points and try to work on it. Otherwise we are going to loose economic growth here
 
Hoja kwa hoja. kila sentensi hapo juu ina sekta zake hivyo iwe na taarifa ya hesabu wapi tumepanda na wapi tunashuka kuliko kuonyesha taarifa za jumla na kutoa majibu ya jumla jumla. waliotoa hoja waonyeshe hesabu na wainga hoja waonyeshe hesabu zao hapo tutafanya ulinganifu sawia.
 
Ngoja waje wajuzi wa uchumi wanaotuaminisha uchumi unakua kwa kasi. Lkn hatumo ktk top 10
 
propaganda zenu haziitishi Tanzania! Politcians are being shot seriously! Wewe uliyeleta hapa ni mtanzania na ninaamini unasihi Tanzania kati ya Politicians 1000, wangapi waliopigwa risasi. Yaani propaganda za mabepari weupewakoloni wachache wanaandika kwa manufaa yao na wewe unabeba jinsi lilivyo. Haya nikuulize je unayaamini? Hebu tumia akili kidogo tu uliyonayo kuanalise kabla hijabeba habari nzimanzima huku ukijua ukweli ni upi. Otherwise wewe ni mkoloni mwenyewe, kibaraka wao au unafaidika na vibaraka!
 
Fake news
 
which economic growth are you talking about on the list below;
ACACIA mining company?

PETRA mining company?

TICS clearing&forwading company?

IPTL with Seth&Rugemalira?

SYMBION power supliers?

and so of the same kind whose JPM is fighting against huge corruption scandals.

my take:
if JPM was wrong about the cost findings of makinikia and even brought out some if the opposition public leaders disagreeng with the cost mentioned by the Prof Mruma comitee.
why ACACIA announcing the closure of its projects in the country?
 
Despite the numerous challenges the country is going through,
I do believe we are on the right track.
Unfortunately OTHERS ( sic ) aren't seeing this!/

Pamoja na changamoto nyingi nchi inazozipitia,
Naami kuwa tuko katika mwelekeo mzuri. Kwa bahati mbaya WENGINE wetu hatuoni hayo!
 
Watu

Watu kama nyinyi mlikuwepo hata kipindi cha kugombania Uhuru. .
Ukweli ni kwamba hata uwe na mapenzi makubwa kiasi gani kwa Rais Magufuli, katika uchumi, sera zake na mbinu anazozitumia, zimedidimiza uchumi, na akiendelea hivyo hivyo ni lqzima ataua kabisa ukuaji wa uchumi wa nchi hii. Mpaka sasa investmate growth imeshuka toka 26.8% mpaka 3.4%. Unemployment, japo sina data ni dhahiri inakuwa kwa kasi. Biashara zilizokuwepo, nyingi zimekufa (kwa takwimu za serikali yenyewe), lakini watanzania wala hawahitaji kutegemea yaliyoandikwa, kwa sababu wapo Tanzania, wanajua hali ilivyo huko mitaani.

Nadhani Rais hajajua uchumi unajengwa kwa namna gani. Uchumi ni akili na siyo nguvu, ni werevu na siyo amri. Na wala hajui kuwa kwa tajiri, hana shida ya kupata mahali pa kuwekeza, shida ni kupata wawekezaji katika nchi. Wawekezaji wakubwa siyo desperate people, siyo watu unaoweza kuwazungusha kama pia. Wanatafutwa Duniani nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…