Tanroads wawa chawa.

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
887
Reaction score
664
Kuna vitu vinaumiza, unapoona watu wazima na akili zao wanaamua kuwa machawa sijui wanadhani wa Tanzania wore mazuzu!? Unasifiaje kazin ya Samia Miaka mine Barbara nyingi zimesimama hazijengwi SGR imeishia pale ilipoishia, ukiwa kiongozi msalie Mtume, unatetea kile kisichotoka moyoni sababu ya madlahi binafsi kumbuka utaulizwa.
 
Tanzania imefika point inabidi usifie ili ubaki kwenye mfumo
 
Kuna watu nchi hii bila kutaja jina Samia hawaendi choo!

Shithole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…