Tangu tuachane

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,246
likuwa na girlfriend ambaye nlimpenda sana....nlfanya kila kitu hata kama xkuwa na uwezo nacho nlijitahd walau kdg....zawadi kwa sana...apple...chocolates na ice creams kwa saan

Kiukweli nakiri akili ilizama zaidi kwenye mapenzi..nlihisi ntakuwa naye mda wote na katka hali zote...umaskin pia

Mambo yakabdlka...malengo yngu kimaisha yakayumba....nae akaanza visa...tukaachana

But mpk sasa nashukuru nimeanzsha biashara yangu na inaendelea vzuri...vitu vnajaa...na wateja wapo wa kutosha..faida ipo...lkn kkubwa n kuwa kila xku nnaumiza kichwa kuongeza huduma mbalimbali

Ushauri:..mtot wa kiume kama wataka ujipange vema kimaisha...kiakili...na kisaikolojia...weka mapenz pemben kwa mda...na kama upo kwenye mapenz usiingie miguu yote
 
Aiseee Mapenz utaweka pemben kwa muda kwasababu tu umetendwa ila moyo hauzuiliki kupenda kamwe
Cha muhim ni kuwa makini tu
Ndo maana nkasema kama upo kwenye mapenz n kuwa makini boss
 
Sasa mkuu ukiweka mapenzi pembeni utabandua wapi? Au ndo kujichua tena
Ni kwa mda boss...halafu kuna tofauti kati ya kuwa kwenye mapenzi na kufanya mapenzi....mapenzi n mpk uwe na yle umpendaye....kubandua unaweza kupiga yyte yle..ni kwa ajili ya njaa tyu
 
Pole mkuu kwa yaliyokukuta ni sehemu ya maisha songa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…