Kwel maana ili hata kwangu limesumbua[/QUOTE ]
Kama tatizo lipo mpka leo, nicall nawez nkaja kukuhelp kwa bei nzur tu ili na ww ukipata wengine unileteee kwa bei hyo au hata ukiongeza maana bei yang n cheap mpka wengine hua wanaongeza bei wakileta watu
Yap its true bt m nnazo za 64 bits software! Yaan kila software ambazo nnazo mm zipo za aina mbili, x32 na x64!
Habari zenu, nimefanya research nimegundua watu wengi wana window 7 na window 8 ya 32 bits badala ya 64 bits! Ili kujua, nenda my computer den properties halaf nenda kwenye sehem wameandika system file den check n 32 or 64 bits.
Kama n 32bits kwanza haisom ram yote, mfano 4gb itasoma 2.98 usable!
Suluhisho n moja tu just kupiga window 7 or 8 ya 64 bits uinjoy! Its too cheap, kama utakua na tatizo hilo na matatizo mengine utaniambia!
Wasiliana nami 0653 457659.
Mtel na mwenzako!
Pamoja tunajenga taifa la wenye PC Tanzania.
Kwel maana ili hata kwangu limesumbua[/QUOTE ]
Kama tatizo lipo mpka leo, nicall nawez nkaja kukuhelp kwa bei nzur tu ili na ww ukipata wengine unileteee kwa bei hyo au hata ukiongeza maana bei yang n cheap mpka wengine hua wanaongeza bei wakileta watu
mkuu app za 32bit zina run kwenye os ya 64bit ila app za 64bit hazirun kwenye 32bit. acha upotoshaji.
labda hata hujui tofauti ya 32bit na 64bit maana unaposema haisomi ram yote maana yake nini? nahisi hauko aware na specification za kuweka os 32bit au 64bit. Nenda kasome some kwanza sio kuwahadaa watu na maneno yako ya kuganga njaaa. uwe unatembelea jukwaa la tech utapata elimu kubwa kuhusu pc na mengineyo
Wewe nawe unatofauti gani na huyu mleta maada kipofu na kipofu
mkuu app za 32bit zina run kwenye os ya 64bit ila app za 64bit hazirun kwenye 32bit. acha upotoshaji.
labda hata hujui tofauti ya 32bit na 64bit maana unaposema haisomi ram yote maana yake nini? nahisi hauko aware na specification za kuweka os 32bit au 64bit. Nenda kasome some kwanza sio kuwahadaa watu na maneno yako ya kuganga njaaa. uwe unatembelea jukwaa la tech utapata elimu kubwa kuhusu pc na mengineyo
Kitu kinachonikera zaidi ni kwamba nimekosa drivers za 64bit kwa printer niliyonayo....
Vizuri mkuu, tatizo dogo sana hilo! Ingia internet search driver za printer zako zinazokubali kwny window ya 64 bits den zitakuja half download! Nahisi tatizo litakua limeisha!
Heb nitumie sms kwa namb yang model ya printer yako den nikusaidie