Miongoni mwa mazao ambayo wakulima walipata sana kimavuno lakini soko likadoda kutoka kwenye maelfu kwa kilo mpk mamia kadhaa. Pande za njombe - Songea nina rafiki yangu nae ana tani kadha wa kadha akitafuta soko. Poleni sana