Kitendo cha kuwepo katiba hai Zanzibar
Wimbo wao wa taifa.baraza la wawakilishi.bendera ya taifa,na rais mwenye mamlaka kamili ni udhihirisho kuwa wazanzibari walimuenzi mama yao Zanzibar huku Watanganyika wakinyonga mama yao Tanganyika kwa mikono yao wenyewe.jambo hili linaweza lisiwe zuri kwa watawala lakini likawa jema kwa wazalendo wa Tanganyika.