ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,227
- 50,956
Hii Nchi imejaa watu wanaojiita viongozi ila Wana mavi kichwaniSasa si wangemwacha kwanza avune alafu mambo mengine yangeendelea.
Enzi za jiwe wangefyekwa nyeti hawa viongozi.Hii Nchi imejaa watu wanaojiita viongozi ila Wana mavi kichwani
Nani katoa amri hii yaani hakujiongeza jamani.Hii Nchi imejaa watu wanaojiita viongozi ila Wana mavi kichwani
Inasikitisha sana.Hii tabia imeanza kuota mizizi,ilifanyika Mpanda Kwa Mzee na Sasa imejirudia Kwa huyu bibi.