Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) la kuidhinishiwa ongezeko la bei za huduma ya umeme kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Januari Mosi, 2011. TANESCO wanaomba bei za huduma ya umeme ziongezeke kwa asilimia 34.6 kwa mwaka 2011; asilimia 13.8 mwaka 2012; na asilimia 13.9 mwaka 2013
Yaani thinking capacity ya viongozi wa TANESCO imeishia hapo?? Ni ajabu kweli!!! Kwa nini wanasua sua kuipa ruhusa kampuni ya atumas ili izalishe na kusambaza umeme huko kusini?? Kuna nini?? Yote haya ya kupandisha hovyo bei ya umeme ni uvivu wa kufikiri na kutafuta vyanzo mbadala vya mapato.
Katika afrika tanzania ndo nchi yenye umeme wa ghali sana lakini jamaa wsivyo fikiria wanaona njia pekee ya kufidia gharama za mikataba ya kijinga ya IPTL, SONGAS, Kiwira, ni kupandisha bei?? Hovyo kabisa.
Tanesco Kupandisha tena Bei ya Umeme....
Nawasilisha
Umewasilisha uongo.
TANESCO wameomba kupandisha bei.
Did U read the full post????????
Sikuhitaji kusoma tundiko zima kwa sababu hapo juu tu nikajua we mwongou, ukweli naujua. Kwa nini niendelee kusoma taarifa za mwongo?
Sawa wemeomba kupandisha je watapandisha bei au hawapandishi! maana siyoni sababu ya msingi kumshambulia jamaa,kwa sababu nijuavyo hawa tanesco wana wakumzuia asipandishe, mi sijui tuendako maana huduma mbovu na unataka kuongeza bei kwa lipi haswa?Don't judge a Book with its Cover; Tafadhali soma tundiko zima upate mada nzima; Naamini muwasilishaji hajapotosha umma, nimefuatilia kwenye vyombo vya habari jamaa wameomba kupandisha kwa awamu.
kazi kwelikweli:
Maisha Bora ZAIDI=kasi zaidi,nguvu zaidi,hali Zaidi
Hawa tanesco ni wapuuzi sana, badala ya kukusanya outstanding debts wao wanawaongezea gharama wateja waaminifu ndio maana sasa hivi watu wengi wanatumia umeme kinyemela bila kulipia. Inabidi waweke mkakati wa kuhakikisha kuwa kila unit moja inayozalishwa inalipiwa tofauti na sasa ambapo unit zinazolipiwa ni chini ya asilimia 50, sasa ndio nakisi inalazimishwa walipe loyal customers. very stu.pidYaani thinking capacity ya viongozi wa TANESCO imeishia hapo?? Ni ajabu kweli!!! Kwa nini wanasua sua kuipa ruhusa kampuni ya atumas ili izalishe na kusambaza umeme huko kusini?? Kuna nini?? Yote haya ya kupandisha hovyo bei ya umeme ni uvivu wa kufikiri na kutafuta vyanzo mbadala vya mapato.
Katika afrika tanzania ndo nchi yenye umeme wa ghali sana lakini jamaa wsivyo fikiria wanaona njia pekee ya kufidia gharama za mikataba ya kijinga ya IPTL, SONGAS, Kiwira, ni kupandisha bei?? Hovyo kabisa.