Tanesco na Tabata kunaugonvi gani?

GNA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
246
Reaction score
72
Wana jf nataka kuuliza swali kuna ugonvi gani mkubwa kati ya tanesco na huu mji wa tabata, kwakuwa hazi wezi kupita wiki mbili mfululizo bila umeme kukatika, tatizo linakuwa wapi? Kwani kama tatizo kwanini inakuwa mtihani mgumu kufaulu?
 
Kabisa! Hawa jamaa wanatunyanyasa sana wakazi wa tabata!
 
Eeh hata leo wamewakatia? Si nasikia mkuu wa nchi yupo Tabata msibani?

Msihofu Tanesco wako kwenye mchakato wa kuzima mitambo yao ya analojia ili waingie kwenye digitali, kwahiyo muwe wavumilivu haya matatizo yataisha.
 
Yaani kwa wiki 2 zilizopita haijawahi kupita siku bila ya kukata umeme na leo wamekata tangu saa kumi na mpaka sasa haujarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…