Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,728
- 4,423
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi, pia tupatie namba ya taarifa uliyopewa mwanzoni kwa ufuatiliaji zaidi.^OKSiku ya Tano Leo Niko gizani,remote ya luku aina ya EDMI inayoanzia namba 43 haipokei token yoyote,nmeenda ofisini kwao zaidi ya mara 4 wananipa token change lakin wapi!mara ya mwisho wamenipa case namba wakidai watamtuma fundi,fundi amekuja Leo,maelezo anayotoa Sasa!eti hakuambiwa kuwa tatizo ni Hilo,ye kaambiwa Kuna nguzo imeanguka Kwa hiyo hawezi kushughulikia Hilo labda arudi ofisini akachukue token key change ndiyo atakuja sasa!
Baada ya kujibiwa hivyo mi nikarudi ofisini kwao Tena nikakutanishwa na muhasibu,nikamuelezea tatizo langu lote na hatua nilizopitia huku nikimuonesha Yale matoken key change Yao,Muhasibu akasema Sasa nimpigie yule fundi wao simu nimwambie apande kwenye nguzo akiwa juu ya nguzo ampigie Muhasibu Ili amwambie Nini Cha kufanyaπ,nikampigia yule fundi wao akawa hapatikaniπ,nikabaki nimeduwaa sielewi Cha kufanya
Naamini Kuna wataalamu wa hizi meter humu nishaurini nifanye Nini Ili nipate mwanga Tena?!!!NMEKWAMA.
UKIINGIZA TOKEN INAJIBU 'no,no,no'. TANESCO
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi, pia tupatie namba ya taarifa uliyopewa mwanzoni kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
ππ hii ndo imaisha hii. Kama huwajui TANESCO wape namba ya mita alaf kaa uone kama haurudi kuanzisha uzi mwingine humuHabari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi, pia tupatie namba ya taarifa uliyopewa mwanzoni kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
Ngoja niwatumie meter namba huenda huyu WA jamiiforum yupo tofauti,kesho ntapata mwanga ,AMEEEN.ππ hii ndo imaisha hii. Kama huwajui TANESCO wape namba ya mita alaf kaa uone kama haurudi kuanzisha uzi mwingine humu
Asante sana mkuuPole mkuu
Mtumie nilivyowasiliana na wa humu kwangu walikuja mafundi kama wote kushughulikia tatizo languNgoja niwatumie meter namba huenda huyu WA jamiiforum yupo tofauti,kesho ntapata mwanga ,AMEEEN.