Hapana ndani ya mwezi unakatwa mara Moja tuKila unaponunua unakatwa hiyo kodi?
Kama malipo ni chini ya buku wanayodai wataendelea kukata mpaka ifikie buku yao wanayotaka kila mwezi...Kila unaponunua unakatwa hiyo kodi?
Na watakuwa wamefanya hivyo kwa kuwa wangekata buku yote ingetakiwa na units chache sana. Kama ungeweka umeme wa elfu tano hapo wangekata buku yao yote.Nadhani maana mimi nilivyo nunua nilitegemea wakate yote kwa pamoja ila inavyo onekana sivyo wame kata kidogo japo sijui ni kiasi gani wamekata
Bora yako wewe mimi TANESCO wananiibia wewe kwa sh.2,000 unapata unit 5.7Kufuatia leo kuanza kwa kodi za majengo kupitia mfumo wa ununuaji wa luku nilitegemea kupata mchanganua wa ni kisasi gani nimekatwa katika manunuzi yangu ya umeme.
Kikawaida naponunua umeme wa 2000 hua napata unit 6,ila leo nimepewa unit 5.7 kwa maana kwamba wamekata kodi ya jengo. Japo mimi mnunuajia sijaelewa ni kiasi gani wamekata na kiasi gani nimebaki nadaiwa ili ifike hiyo 1000 wanayo taka kwa mwezi. Je, hii sio njia rahisi ya wao kuibia wateja wao wanao nunua kidogo kidogo?
Kwanini hiyo tozo isingekua inaonekana kwenye receipt yao? Kama ilivyo kwa VAT, EWURA NA REA.
View attachment 1899879
Hata mimi tangu jana naambiwa hivyo mpaka leo sina umeme.Mbona mimi kwangu ina goma nime weka shs3000 kwa simu nanunua naambiwa salio halitoshi
Polee mkuuu, jamaaa ni mumiani walio halalishwa na bunge.Bora yako wewe mimi TANESCO wananiibia wewe kwa sh.2,000 unapata unit 5.7
Wengine kwa sh.3,000 tunapata unit 4.2
LUKU
37212843355
990022123020518998
4.2KWH
5094 6353 7734 7435 5346
Cost 1,147.55
VAT 18% 206.55
EWURA 1% 11.48
REA 3% 34.42
Debt Collected 1,600.00
TOTAL 3,000.00
Wamenipiga pigo takatifu tena 5,000 unit 1.5Polee mkuuu, jamaaa ni mumiani walio halalishwa na bunge.
Tatizo kubwa kwangu hawajaonyesha kiwango walicho nikata,japo najua wamekata
Ila serikali ya sasa ni kama inaendeshwa na familia watakacho jisikia tu wanasemaYako ni kibokoo mkuuu.