Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
unalinganisha magoli 12 ya EPL na magoli 25 ya italy?serious?Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea TAMMY ABRAHAM jana alifungia timu yake ya AS ROMA goli pekee lililoipeleka klabu hiyo fainali ya #UECL katika ushindi wa jumla wa magoli 2-1 dhidi ya LEICESTER CITY.
-
ABRAHAM amefunga magoli 25 msimu huu kwenye michuano yote akiwa ndio mchezaji pekee kutoka ENGLAND kufikisha idadi hiyo ya magoli katika Ligi 5 bora Ulaya.
-
Ikumbukwe CHELSEA ilimuuza ABRAHAM kwa pauni milioni 34 na kumnunua ROMELU LUKAKU kwa pauni milioni 97.5.
-
TAKWIMU ZA ABRAHAM NA LUKAKU MSIMU HUU:
ABRAHAM:
[emoji2522] Mechi: 49
[emoji460] Magoli: 25
[emoji2402] Assists: 5
LUKAKU:
[emoji2522] Mechi: 40
[emoji460] Magoli: 12
[emoji2402] Assists: 2
‘Dhahabu ilitupwa JIWE likaokotwa’
#Shabani AjahaView attachment 2214970
👇Lukaku ni Kibu Denis asiye na rasta, hakuna mchezaji pale
unalinganisha magoli 12 ya EPL na magoli 25 ya italy?serious?
Ligi bora ni england tu hizo ligi zingine ni za mchangani tu
Kumbukeni mchango wa kocha pia kwenye mafanikio ya mchezaji.Tammy Abraham kwa sasa yuko chini ya mtaalam The Special One- Mourinho!! Lazima awe bora kuliko Lukaku aliye chini ya bwana mdogo Tuchel!!Tahadhari ni muhimu.
Kilichofanya Chelsea wakamrudisha Lukaku ni performance yake huko Seria A.
Unataka kushawishi wamrudishe T. Abraham kwa sababu ya anavyo perform huko Seria A.
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo role model wake molinga?Lukaku ni Kibu Denis asiye na rasta, hakuna mchezaji pale