Tamko la mwenyekiti chadema


hakuna kitu apa,ni pumba tu hii
 
Sigma can you please stop distortion of the thread by posting irrelevant pictures.
 
"A nation should not be judged by how it treats its highest citizens, but it's lowest ones…"
Long walk to freedom, Mandela
 
Kama ni kweli CCM wameshikwa, basi kazi ipo maana hao jamaa ni wabaya sana wanapokuwa wameshikwa.
 
ushindi CCM ni 80% na CDM 17% na 2% na 1% vyama vilivyobakia.
 
Hizo ni ndoto za mchana, utawezaje kushinda wakati haujawekeza; tena umeshindwa kuwa na mtandao kila kata

NAJUA unachojivunia kuwa CCM(magamba)wamewekeza kutotengenisha dola na kazi zake, ukihusisha CCM kuiburuza dola ifanye kazi za chama dola.na pia kuwa na tume ya uchaguzi ya ccm ikitumia mkurugenzi wa halmashauri kama kada wa chama.lakini ni wapi ccm imekeza? kuwanyang'hanya wananchi ardhi yao walioachiwa na mababu zao na kuwapa walowezi kwa sheria na taratibu kandamizi kwa wanyonge?kuwa na miundo mbinu mibovu?kuwa na zahanati zisizo na dawa ?kuwa na shule zisizo kuwa na walimu wakutosha na weledi kitaaluma,?
CCM ni lazima iwajibike kidemokrasia(democratic accoutability) nini ccm imefanya kabla ya uchaguzi huu, acha ubabaishaji kama lusinde au nchemba mwizi wa wake za watu igunga
 
CDM mtaongea yote lakini kaaeni mkijua tarehe 1 ni siku ya msiba mkubwa kwa CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…