nyahinga Member Joined Dec 18, 2016 Posts 45 Reaction score 23 Oct 5, 2018 #1 Habari wanaJF, Kuna tangazo TAMISEMI la Ajira kada ya afya kwa awamu ya pili. Mwenye MB alilete basi hapa kwa faida ya wote. Msinijaji kivingine, mazingira tu ndo sababu. Ahsanteni
Habari wanaJF, Kuna tangazo TAMISEMI la Ajira kada ya afya kwa awamu ya pili. Mwenye MB alilete basi hapa kwa faida ya wote. Msinijaji kivingine, mazingira tu ndo sababu. Ahsanteni
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Oct 5, 2018 #2 nyahinga said: Habari wanaJF, Kuna tangazo TAMISEMI la Ajira kada ya afya kwa awamu ya pili. Mwenye MB alilete basi hapa kwa faida ya wote. Msinijaji kivingine, mazingira tu ndo sababu. Ahsanteni Click to expand... Inabidi uwe serious mkuu maisha haya.
nyahinga said: Habari wanaJF, Kuna tangazo TAMISEMI la Ajira kada ya afya kwa awamu ya pili. Mwenye MB alilete basi hapa kwa faida ya wote. Msinijaji kivingine, mazingira tu ndo sababu. Ahsanteni Click to expand... Inabidi uwe serious mkuu maisha haya.
nyahinga Member Joined Dec 18, 2016 Posts 45 Reaction score 23 Oct 5, 2018 Thread starter #3 Mpombote said: Inabidi uwe serious mkuu maisha haya. View attachment 887856 View attachment 887861 Click to expand... Kiongozi sikuwa na mb kwa sababu ya kimazingira niliyokuwa nayo, sijui kama ulinielewa mwanzo
Mpombote said: Inabidi uwe serious mkuu maisha haya. View attachment 887856 View attachment 887861 Click to expand... Kiongozi sikuwa na mb kwa sababu ya kimazingira niliyokuwa nayo, sijui kama ulinielewa mwanzo
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Oct 5, 2018 #4 nyahinga said: Kiongozi sikuwa na mb kwa sababu ya kimazingira niliyokuwa nayo, sijui kama ulinielewa mwanzo Click to expand... Attachments ajira-awamu-ya-pilireplacement.pdf ajira-awamu-ya-pilireplacement.pdf 313.9 KB · Views: 156
nyahinga said: Kiongozi sikuwa na mb kwa sababu ya kimazingira niliyokuwa nayo, sijui kama ulinielewa mwanzo Click to expand...
L legendary pekee Member Joined Mar 23, 2017 Posts 70 Reaction score 106 Oct 5, 2018 #5 hua najilaumu sana kwann sikusoma coz za afya ,,,japo ni ngumu lkn ningekomaa nikatusua tu ajira zao hazina stress kabsa yani
hua najilaumu sana kwann sikusoma coz za afya ,,,japo ni ngumu lkn ningekomaa nikatusua tu ajira zao hazina stress kabsa yani
kulangwa22 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 739 Reaction score 546 Oct 6, 2018 #6 Mbn wamesema watumie online aplctn waliojua jins yakufany waelekeze apa
Diplomat Niwe JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 231 Reaction score 216 Oct 8, 2018 #7 Tanzania hakuna kada zenye ajira nyingi kama Afya
Only 1 Kalu Member Joined Sep 16, 2018 Posts 53 Reaction score 30 Oct 9, 2018 #8 Zaman kwa sasa ajira znatka kiduchu sana legendary pekee said: hua najilaumu sana kwann sikusoma coz za afya ,,,japo ni ngumu lkn ningekomaa nikatusua tu ajira zao hazina stress kabsa yani Click to expand...
Zaman kwa sasa ajira znatka kiduchu sana legendary pekee said: hua najilaumu sana kwann sikusoma coz za afya ,,,japo ni ngumu lkn ningekomaa nikatusua tu ajira zao hazina stress kabsa yani Click to expand...