mtei msomi
Member
- Jul 30, 2016
- 16
- 4
Tamisemi ipo ofisi ya rais siku hiziView attachment 380490 huyu mwingine alitaka kula laki tano yangu kiulaini tu...Tapeli mkubwa!Hope vyombo husika vitamfuatilia na kumtia nguvuni.
President's Office Regional Administration and Local Government | TanzaniaTamisemi ipo ofisi ya rais siku hizi
Kufuata mke wako au mume wako kama wote ni watumish wa umma vinginevyo ni chanzo cha uzinzi na maambukiz na watoto wa kuzingiziwa na nadhan hiyo ndiyo sababu kuu. Na zinginezo zipoMsihame fanyeni kazi kwa uzalendo vijana, mnataka kwenda wapi Tanzania yetu sote!
Kufuata mke wako au mume wako kama wote ni watumish wa umma vinginevyo ni chanzo cha uzinzi na maambukiz na watoto wa kuzingiziwa na nadhan hiyo ndiyo sababu kuu. Na zinginezo zipo
Hivi wewe ni mtu mzima au mtoto maana naweza nikawa napoteza mda wangu humu bila sababu ,kama hata maana ya ndoa huijui !? Au ndo kile kikosi cha O-Level kilicho vamia jukwaa.Kwa hiyo kama mke anahamahama na wewe utamfuata kama kumbikumbi acheni hizo sasa kila mtu akimfuata mke wake au mume wake nani atabaki kituoni kufanya kazi,uwe na sababu za msingi kama vile ugonjwa unafuata matibabu lakini hii ya mke/mume iko very light
Acha uongo na unafiki kila taasisi iwe ya umma au private ina fahamu umuhimu wa hilo kinacho kuwa kigumu ni kwamba taasisi binasi inaweza ikawa sehemu moja tu na hivyo huwez kuhama kwa mfano unafanya kazi geita gold mining utaomba uhamie kwenye mgodi gani hapa ambao nao upo chini ya geita lakin upo dar es salaam?? Ika kama mpo taasisi moja na ni mke na mume sekta binafsi zina litambua hilo kuwa lipo na inalitekeleza sababu ni sheria na sheria katika nchi inatawala kote sekta binafsi na serikali kwa ujumla, usitumie majibu mepesi kujibu maswali magumu.wafanyakazi wa serikalini ukiondoa level za management.. wengi wao ni maskini.. sababu wanapenda sana kulalamika lalamika na excuses...
kazi za private hazinaga mambo ya kumfata mume sijui mke na watu hawalalamiki lalamiki..
kazi sio baba yako... ukiona anakuweka mazingira ambayo hutaki kuishi unaacha na kutafuta nyingine kama upo competent huwezi shindwa kupata au kufanikiwa kwa miradi yako.. tanzania bado virgin sana..
ushawai kuona mtanzania mwenye asili ya india, mwarabu au mzanzibar kaajiriwa halmashauri sitimbi??
anaona mizinguo tu ndio maana anaamua kushinda dukani kwake mijini tu... na bado anaishi maisha mazuri kuliko watumishi wengi.. gari nzuri, watoto wake wanasoma shule nzuri... sabab anatumia akili yake vizuri....
Kama huna ndoa nyamazaKwa hiyo kama mke anahamahama na wewe utamfuata kama kumbikumbi acheni hizo sasa kila mtu akimfuata mke wake au mume wake nani atabaki kituoni kufanya kazi,uwe na sababu za msingi kama vile ugonjwa unafuata matibabu lakini hii ya mke/mume iko very light
Umeolewa??Kwa hiyo kama mke anahamahama na wewe utamfuata kama kumbikumbi acheni hizo sasa kila mtu akimfuata mke wake au mume wake nani atabaki kituoni kufanya kazi,uwe na sababu za msingi kama vile ugonjwa unafuata matibabu lakini hii ya mke/mume iko very light