Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,750 Reaction score 47,065 Feb 13, 2024 #1 Ukiangalia takwimu za Yanga msimu uliopita 2022/23 chini ya Nabi katika mechi 15 za mwanzo wa msimu, zinazidiwa na Yanga hii chini ya Miguel Gamondi. Takwimu hazidanganyi. YANGA 2022/23 - RAUNDI YA KWANZA, CHINI YA NABI Michezo: 15 Ushindi: 12 Kufungwa: 1 Suluhu: 2 Pointi: 38 Goli za Kufunga: 27 Goli za Kufungwa: 8 Tofauti ya Magoli: 19 Clean Sheet: 9 YANGA 2023/24 RAUNDI YA KWANZA CHINI YA GAMONDI Michezo: 15 Ushindi: 13 Kufungwa: 1 Suluhu: 1 Pointi: 40 Goli za Kufunga: 36 Goli za Kufungwa: 8 Tofauti ya Magoli: 28 Clean Sheet: 9 Takwimu zinaongea. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ukiangalia takwimu za Yanga msimu uliopita 2022/23 chini ya Nabi katika mechi 15 za mwanzo wa msimu, zinazidiwa na Yanga hii chini ya Miguel Gamondi. Takwimu hazidanganyi. YANGA 2022/23 - RAUNDI YA KWANZA, CHINI YA NABI Michezo: 15 Ushindi: 12 Kufungwa: 1 Suluhu: 2 Pointi: 38 Goli za Kufunga: 27 Goli za Kufungwa: 8 Tofauti ya Magoli: 19 Clean Sheet: 9 YANGA 2023/24 RAUNDI YA KWANZA CHINI YA GAMONDI Michezo: 15 Ushindi: 13 Kufungwa: 1 Suluhu: 1 Pointi: 40 Goli za Kufunga: 36 Goli za Kufungwa: 8 Tofauti ya Magoli: 28 Clean Sheet: 9 Takwimu zinaongea. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 6,458 Reaction score 14,183 Feb 13, 2024 #2 Wote ni makocha wa Yanga ila Nabi alikua na mazingira magumu ya kutengeneza timu na kuwafanya wachezaji wajiamini. Gamond ana kazi ya kuwafanya wachezaji wasijiamini kupita kiasi na kui imarisha timu. Yotekwayote Mataji ndio mpango mzima.
Wote ni makocha wa Yanga ila Nabi alikua na mazingira magumu ya kutengeneza timu na kuwafanya wachezaji wajiamini. Gamond ana kazi ya kuwafanya wachezaji wasijiamini kupita kiasi na kui imarisha timu. Yotekwayote Mataji ndio mpango mzima.
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,750 Reaction score 47,065 Feb 13, 2024 Thread starter #3 redio said: Wote ni makocha wa Yanga ila Nabi alikua na mazingira magumu ya kutengeneza timu na kuwafanya wachezaji wajiamini. Gamond ana kazi ya kuwafanya wachezaji wasijiamini kupita kiasi na kui imarisha timu. Yotekwayote Mataji ndio mpango mzima. Click to expand... Kweli kabisa Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
redio said: Wote ni makocha wa Yanga ila Nabi alikua na mazingira magumu ya kutengeneza timu na kuwafanya wachezaji wajiamini. Gamond ana kazi ya kuwafanya wachezaji wasijiamini kupita kiasi na kui imarisha timu. Yotekwayote Mataji ndio mpango mzima. Click to expand... Kweli kabisa Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 2,661 Reaction score 5,583 Feb 14, 2024 #4 Itakuwaje mkiishia makundi CCL na mkashindwa kuchukua ubingwa wa NBC
vibertz JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 3,128 Reaction score 5,862 Feb 14, 2024 #5 Auto-Marvelt said: Itakuwaje mkiishia makundi CCL na mkashindwa kuchukua ubingwa wa NBC Click to expand... Itakuwa hivyo hivyo tu
Auto-Marvelt said: Itakuwaje mkiishia makundi CCL na mkashindwa kuchukua ubingwa wa NBC Click to expand... Itakuwa hivyo hivyo tu
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,307 Reaction score 31,728 Feb 14, 2024 #6 Auto-Marvelt said: Itakuwaje mkiishia makundi CCL na mkashindwa kuchukua ubingwa wa NBC Click to expand... Wewe ulitaka iweje?
Auto-Marvelt said: Itakuwaje mkiishia makundi CCL na mkashindwa kuchukua ubingwa wa NBC Click to expand... Wewe ulitaka iweje?