Tairi ku collapse baada ya wheel alignment

MATEO GODFREY

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
54
Reaction score
89

Juzi nilibadirisha Wishbone, CV joints brake pads, Top mount kwenye hii Suzuki swift baada ya kupata ushauri kutoka kwa wadau WA jamii forum baada ya hapo kesho yake nikaipeleka kufanya wheel alignment kwenye servicebay ya Kituo Cha mafuta chenye jina kubwa sana pale Ununio jamaa alikuwa anachezesha camber bolts na spana na sehem zingine mpaka alipokuja maliza kazi yake chakushangaza Jana usiku nimekata kona Tairi ikacollapse namna hiyo
 

Japokuwa sio mtaalamu wa hizi mambo ila niliona kabisa kwenye screen Bado Kuna utofauti au negative camber haijaisha yote gari ilikuwa inavuta upande mmoja so nikacheck tyre pressure nikaona Kuna sehem inasoma 30 na mwengine 60 so nikajaza vizuri mbele (35) nyuma (40)
 
Madhara ya kununua bora gari matokeo yake unashindwa kulitunza au kulihudumia cheki ilo tairi limekuwa kipara kabisa .
 
Mafundi wenye Akili timamu wapo wachache Sana , sasa kama kupima wheel alignment imemshinda itakuaje kwenye engine?
Ndiyo maana wakenya wanatucheka Sana wabongo Kwa style kama hii
 
Hii Hii nchi naona mafundi pia Wana mchango mkubwa kwenye kuua hizi gari na hata kusababisha ajari, just imagine umejichonyoa speed halafu itokee hivo so hatari 🤔.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…