E Ed n Edd nEddy JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 5,345 Reaction score 6,078 Oct 7, 2015 #161 Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?
Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 7, 2015 #162 kedrick said: Mbona kama yanga ndo wanacheza Click to expand... Achana na usimba na uyanga sisi tunataka ushindi timu ya taifa ya Tanzania bila kujali kacheza nani.
kedrick said: Mbona kama yanga ndo wanacheza Click to expand... Achana na usimba na uyanga sisi tunataka ushindi timu ya taifa ya Tanzania bila kujali kacheza nani.
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,743 Reaction score 6,273 Oct 7, 2015 #163 cnjona said: malawi wanafanya mabadiliko Click to expand... Eeh, wamechagua Ukawa? Kweli huu ni mwaka wa neema kwa kila mwafrika mpenda maendeleo. Kutawaliwa na chama kimoja karibia miaka 60 inafanya nchi kuwa ya kijinga. Hongereni Malawi kwa kuhamua kubadirika.
cnjona said: malawi wanafanya mabadiliko Click to expand... Eeh, wamechagua Ukawa? Kweli huu ni mwaka wa neema kwa kila mwafrika mpenda maendeleo. Kutawaliwa na chama kimoja karibia miaka 60 inafanya nchi kuwa ya kijinga. Hongereni Malawi kwa kuhamua kubadirika.
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 Oct 7, 2015 #164 Ulimwengu out, Ibrahim Hajib in
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Oct 7, 2015 #165 Makoye Matale said: Achana na usimba na uyanga sisi tunataka ushindi timu ya taifa ya Tanzania bila kujali kacheza nani. Click to expand... Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao
Makoye Matale said: Achana na usimba na uyanga sisi tunataka ushindi timu ya taifa ya Tanzania bila kujali kacheza nani. Click to expand... Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,552 Oct 7, 2015 #166 Kweli nyota ya Mkwasa ing'are
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 7, 2015 #167 Ed n Edd nEddy said: Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea? Click to expand... Tayari kaachia ngazi, Yanga hatuna pingamizi lolote, tunamtakia kila la heri katika jukumu la kuiongoza Taifa Stars.
Ed n Edd nEddy said: Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea? Click to expand... Tayari kaachia ngazi, Yanga hatuna pingamizi lolote, tunamtakia kila la heri katika jukumu la kuiongoza Taifa Stars.
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,552 Oct 7, 2015 #168 kedrick said: Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao Click to expand... Bora useme tatizo lako nini huenda ukapata msaada
kedrick said: Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao Click to expand... Bora useme tatizo lako nini huenda ukapata msaada
U uhurubado JF-Expert Member Joined Mar 25, 2007 Posts 929 Reaction score 1,085 Oct 7, 2015 #169 cnjona said: stars wanashambulia sana Click to expand... Naona zile hasira za kutaka kutunyang'anya ziwa tumezihamishia kwenye mpira! Piga hao wachokozi!
cnjona said: stars wanashambulia sana Click to expand... Naona zile hasira za kutaka kutunyang'anya ziwa tumezihamishia kwenye mpira! Piga hao wachokozi!
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 7, 2015 #170 kedrick said: Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao Click to expand... Acha roho mbaya Mkuu; huu ndio ulofa na upumbavu ambao amekuwa akiuzungumzia Benjamin Mkapa.
kedrick said: Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao Click to expand... Acha roho mbaya Mkuu; huu ndio ulofa na upumbavu ambao amekuwa akiuzungumzia Benjamin Mkapa.
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Oct 7, 2015 #171 Rweye said: Bora useme tatizo lako nini huenda ukapata msaada Click to expand... Tatizo ni kwann wanachezesha yanga Una muigizaji hajibu dk za mwisho umeona impact yake kwa d.k 3 alizoingia
Rweye said: Bora useme tatizo lako nini huenda ukapata msaada Click to expand... Tatizo ni kwann wanachezesha yanga Una muigizaji hajibu dk za mwisho umeona impact yake kwa d.k 3 alizoingia
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 Oct 7, 2015 #172 Ed n Edd nEddy said: Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea? Click to expand... ...ameachia, kapewa mkataba na TFF wa miaka miwili.
Ed n Edd nEddy said: Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea? Click to expand... ...ameachia, kapewa mkataba na TFF wa miaka miwili.
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Oct 7, 2015 #173 Makoye Matale said: Acha roho mbaya Mkuu; huu ndio ulofa na upumbavu ambao amekuwa akiizungumzia Benjamin Mkapa. Click to expand... Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90
Makoye Matale said: Acha roho mbaya Mkuu; huu ndio ulofa na upumbavu ambao amekuwa akiizungumzia Benjamin Mkapa. Click to expand... Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90
E Ed n Edd nEddy JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 5,345 Reaction score 6,078 Oct 7, 2015 #174 Makoye Matale said: Tayari kaachia ngazi, Yanga hatuna pingamizi lolote, tunamtakia kila la heri katika jukumu la kuiongoza Taifa Stars. Click to expand... Hapo sawa mkuu
Makoye Matale said: Tayari kaachia ngazi, Yanga hatuna pingamizi lolote, tunamtakia kila la heri katika jukumu la kuiongoza Taifa Stars. Click to expand... Hapo sawa mkuu
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 Oct 7, 2015 #175 kedrick said: Mbona kama yanga ndo wanacheza Click to expand... Ndemla, Ibrahimu Haji = simba Kapombe, Himid Mao, Farid Musa = azam fc Samatta, Ulimwengu = TP Mazembe
kedrick said: Mbona kama yanga ndo wanacheza Click to expand... Ndemla, Ibrahimu Haji = simba Kapombe, Himid Mao, Farid Musa = azam fc Samatta, Ulimwengu = TP Mazembe
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,092 Oct 7, 2015 #176 Full Time Taifa Stars 2-0 Malaw.
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 Oct 7, 2015 #177 ..nahamu ya kuuliza baada ya malawi wanafata nani...ila ngoja kidogo tufunge la tatu..
ALU255 JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 2,089 Reaction score 2,125 Oct 7, 2015 Thread starter #178 full time:tanzania 2-0 malawi 18'samatta 21'ulimwengu
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Oct 7, 2015 #179 mito said: Ndemla, Ibrahimu Haji = simba Kapombe, Himid Mao, Farid Musa = azam fc Samatta, Ulimwengu = TP Mazembe Click to expand... Taja wachezaji wote waliocheza Leo na kuingia sub mechi ya Leo na club zao
mito said: Ndemla, Ibrahimu Haji = simba Kapombe, Himid Mao, Farid Musa = azam fc Samatta, Ulimwengu = TP Mazembe Click to expand... Taja wachezaji wote waliocheza Leo na kuingia sub mechi ya Leo na club zao
E Ed n Edd nEddy JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 5,345 Reaction score 6,078 Oct 7, 2015 #180 jd41 said: ...ameachia, kapewa mkataba na TFF wa miaka miwili. Click to expand... Sawa mkuu