Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,470 Oct 7, 2015 #41 Hivyo ni vituo vya CCM usitaraji hata siku moja wakuoneshe jambo la kitaifa wakati wa mihadhara ya CCM... bato said: Naangalia matangazo ya moja kwa moja kwenye tv. Vijana wetu wanajitahidi sana. TBC1 na Star tv wanaonyesha mkutano Wa Rais mtarajiwa,Pombe,wako Moshi uwanja Wa mashujaa Click to expand...
Hivyo ni vituo vya CCM usitaraji hata siku moja wakuoneshe jambo la kitaifa wakati wa mihadhara ya CCM... bato said: Naangalia matangazo ya moja kwa moja kwenye tv. Vijana wetu wanajitahidi sana. TBC1 na Star tv wanaonyesha mkutano Wa Rais mtarajiwa,Pombe,wako Moshi uwanja Wa mashujaa Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,470 Oct 7, 2015 #42 Alphaking mahena said: tbc 1 huwa wanarusha mechi za taifa stars sa sijui kama na ya leo hii watarusha Click to expand... TBC1 ipi hiyo ambayo huwa inarusha mechi za Taifa Stars? Labda enzi za Tido...
Alphaking mahena said: tbc 1 huwa wanarusha mechi za taifa stars sa sijui kama na ya leo hii watarusha Click to expand... TBC1 ipi hiyo ambayo huwa inarusha mechi za Taifa Stars? Labda enzi za Tido...
muxar JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,645 Reaction score 1,341 Oct 7, 2015 #43 hata tbc1
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,092 Oct 7, 2015 #44 Goooooooalllll Mbwana Samatta.
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Oct 7, 2015 #45 samataaaaaaaaaaa tz 1-0 malawi
J Janosi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 220 Reaction score 39 Oct 7, 2015 #46 tbc1 wanarusha mkutano wa pombe kaz kwel kwel h ndo tz
Eshy m.s JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 2,926 Reaction score 1,561 Oct 7, 2015 #47 Goooooo
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,092 Oct 7, 2015 #48 Taifa Starz 1-0 Malawi Pass maridadi kutoka kwa Thomas Ulimwengu
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Oct 7, 2015 #49 ila beki zetu wanafanya makosa mengi sana yanaweza kutugarimu
F fama JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 740 Reaction score 437 Oct 7, 2015 #50 Thanks Samata cnjona said: samataaaaaaaaaaa tz 1-0 malawi Click to expand...
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,960 Reaction score 3,474 Oct 7, 2015 #51 Taifa stars 1: Malawi 0
F fama JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 740 Reaction score 437 Oct 7, 2015 #52 Asante kwa kutuhabarisha mkuu cnjona said: ila beki zetu wanafanya makosa mengi sana yanaweza kutugarimu Click to expand...
Asante kwa kutuhabarisha mkuu cnjona said: ila beki zetu wanafanya makosa mengi sana yanaweza kutugarimu Click to expand...
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,092 Oct 7, 2015 #53 La pili,,, ,,,,,, Thomas Ulimwengu.
Eshy m.s JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 2,926 Reaction score 1,561 Oct 7, 2015 #54 La pili gooooooo
ALU255 JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 2,089 Reaction score 2,125 Oct 7, 2015 Thread starter #55 22'mins tanzania 2-0 malawi samatta,ulimwengu
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,960 Reaction score 3,474 Oct 7, 2015 #56 Leo ndo Leo. Stars 2: Malawi 0 Limefungwa na T Ulimwengu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,470 Oct 7, 2015 #57 cnjona said: samataaaaaaaaaaa tz 1-0 malawi Click to expand... Ni Samatta au Ulimwengu mkuu?
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Oct 7, 2015 #58 ulimwengu tz 2-0 malawi leo ni zamu yetu
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,079 Reaction score 12,319 Oct 7, 2015 #59 Michi hii yakugombania nini?
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,960 Reaction score 3,474 Oct 7, 2015 #60 Malawi wamerudi nyuma,wameamua kujihami wasirudi kwao na kapu la magoli.