Kama una ela bora uchukue dstv tu. Maana wa Azam tv nako kuna kilio cha kutokuwepo kwa local channels zaidi ya TBC na pia hakuna tena taarifa ya habari kwenye channel za azam.