kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Ulitaka kutoa ushauri mzuri,ulipoingiza mambo ya ACT umekuwa ni umbeya na si ushauri tena.
Hata mimi nimeshituka. Alikuwa anakuja vizuri, lakini ghafla akapotea alipoleta mambo ya ACT Tanzania chama cha siasa ambacho kiukweli sidhani hata kama kimepata usajili wa kudumu!!
Halafu baadaye nikaangalia tarehe aliyojiunga hapa JF katika jukwaa hili, hilo pia likaithibitisha hofu yangu kabisa kuwa iko sahihi......ni wiki moja iliyopita, Tarehe 30/8/1014!!
Greson Manyori Nyakarungu ana kitu gani zaidi ya usaka tonge. Hopeless. ...
Huu uzi ulilenga kuviponda vyama vingine na kuwapromoti wazee wa miba ACT.
Ulitaka kutoa ushauri mzuri,ulipoingiza mambo ya ACT umekuwa ni umbeya na si ushauri tena.
Ulitaka kutoa ushauri mzuri,ulipoingiza mambo ya ACT umekuwa ni umbeya na si ushauri tena.