K kimeza Member Joined Jan 3, 2013 Posts 47 Reaction score 5 Dec 17, 2015 #1 Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja? Asanteni wadau.
Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja? Asanteni wadau.