Internship lengo kuu ni kupata ujuzi na uzoefu. Usitangulize pesa mbele ila hakikisha unapata experience na skill set muhimu kwa ajili ya harakati zako huko mbeleni.

Mkuu, nashauri kama umeona hutendewi haki ni vema ukaachana nao ukaendelea na shughuli zako nyingine. Si vema kupoteza muda sehemu ambayo haki yako haiheshimiwi.

mkuu nakuelewa sana kiongozi,nilifuatlia utaratbu wote nilikuw mimi na wenzangu bt hatukupewa haki ya malipo,ikafka kipind hadi wakablock namba zetu mm nikaona sawa ts fyn acha wanidhulumu