Benk za kipigaji hizi enz hizo aiseSiku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!
Niliwambia waz kuwa fedha hizo hazitirud kwa wakat, na pengine walio zitoa hawataweza kuzipata kbsaa!leo hii nadhani niliyyasema yameanza kutimia.
Maana niliwambia kuwa kuna wananchi pale walipata mkopo ila hawana na hawajawai kuws na mashamba popote pale,nilisema msipo kuwa makini mtajikuta mnarudia makosa mliyoyafanya mkiwa watendaji wa TIB.
Nilienda mbar zaidi nikawataka muache kukaaa ofisini njoooni shamba na mjue project mnazozfanya sio tu mnakaaa ofisin tu muda wte.
Niliwambia hizo pesa hamtoweza kuzipata tena mkanitusi sanaaaa sasa leo nmeshangaaa heti mnamtuma kijana wenu afatilie madeni ndo kwanza anawaita wazee alio kula nao mgawo na kuanza kula nao vyombo na ss wakulim Tunaona.
Niwambie tu ili mfike kuweni wakweli ila mkienda km mnavofanya benki hiyo inaitaji mabadiliko ya mental and phisically,kama kilichofanywa TIB hakina budi kufanyika tena hapo TADB
Naskitika wakat mnatoa mikopo hamkuwahusisha mkuu wa wilaya leo hiii kimebuma heti ndo mnaenda kumwagia bomu ilo lenu mkuu wa wilaya huskubar kupokea bomu ilo.
Mkuu, nakumbuka kama niliwahi kuuona uzi wa namna hiyo... Kweli kukaa kwao ofisini kwenye viyoyozi na uvivu wa kwwenda vijijini kujionea hali halisi ndio umewaponza...Siku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!
Niliwambia waz kuwa fedha hizo hazitirud kwa wakat, na pengine walio zitoa hawataweza kuzipata kbsaa!leo hii nadhani niliyyasema yameanza kutimia.
Kweli mkuu niliuweka humu uzi huo na wakaja humu ndani wakanishambulia sanaaa kwa matusi na kejeri sass nmehangaaa hetibwanamtuma mkuuu wa wilaya afatilie madeni kupitia police,yani watu hawa ni wabaya kuliko sumu, na pesa nyingi ililiwa hapo hapo benk wkulima walipata ila ni pesa kidgo sanaaaMkuu, nakumbuka kama niliwahi kuuona uzi wa namna hiyo... Kweli kukaa kwao ofisini kwenye viyoyozi na uvivu wa kwwenda vijijini kujionea hali halisi ndio umewaponza...
Ile benki, ilikosea tangu mwanzo,ikumbukwe na wtendaji wengi wa benki ile walitoka TIB under the very goood memo,sasa TIB menejment yote imevunjwa kwa upotevu mkubwa wa fedha,kinachotakiwa kufanyika ni kuondoabwatendaji haraka kbla hali haijawa mbaya ila hapa mkura hakuna pesa itakayolipwa maana fedha walizozitoa nyingi hazikuingia kwwny kilimo, na nyingine watendajibwaligawana nabwakulima ndio maana huyo recovery person akija huku anawaita wazee na kukaaa nao baa na kuanza kunywa ili wasje toa siri.Watu wa recovery wasingoje watu wa default ndio washituke, wafanye close supervision kwa wakopaji na wahakikishe wakopaji wanatimiza malengo ya mikopo yao
Wapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
Kaka pole,hukujiongeza mkuu ungefNikiwa mkuu.hao ww ulitakiwa useme unataka 30 ila 20 itabaki kwao fasta ungefAnikiwa maana mkurs ndo hulikuwa mwendo huoWapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
Mkuu mimi nilikwama pia kigezo cha kujiunga kikundi ambacho kimesajiriwa na kimefanyiwa hesabu za miaka 3 au zaidi. Kwanza huko vijijini watu wanaogopa hii mikopo hawaitaki. Wakisikia wewe mgeni kwenye kikundi unachukua pesa ndefu kama mara 4 zaidi ya uwezo wao watakukatalia tu. Maana hapo technically kikundi ndio kinakudhamini. Hii kitu iangaliwe upya. Mtu anaetaka 60 hadi 100 Milioni hawezi kuungana na wanao ogopa kukopa 6 milioni.Wapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
Siku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!
Niliwambia waz kuwa fedha hizo hazitirud kwa wakat, na pengine walio zitoa hawataweza kuzipata kbsaa!leo hii nadhani niliyyasema yameanza kutimia.
Maana niliwambia kuwa kuna wananchi pale walipata mkopo ila hawana na hawajawai kuws na mashamba popote pale,nilisema msipo kuwa makini mtajikuta mnarudia makosa mliyoyafanya mkiwa watendaji wa TIB.
Nilienda mbar zaidi nikawataka muache kukaaa ofisini njoooni shamba na mjue project mnazozfanya sio tu mnakaaa ofisin tu muda wte.
Niliwambia hizo pesa hamtoweza kuzipata tena mkanitusi sanaaaa sasa leo nmeshangaaa heti mnamtuma kijana wenu afatilie madeni ndo kwanza anawaita wazee alio kula nao mgawo na kuanza kula nao vyombo na ss wakulim Tunaona.
Niwambie tu ili mfike kuweni wakweli ila mkienda km mnavofanya benki hiyo inaitaji mabadiliko ya mental and phisically,kama kilichofanywa TIB hakina budi kufanyika tena hapo TADB
Naskitika wakat mnatoa mikopo hamkuwahusisha mkuu wa wilaya leo hiii kimebuma heti ndo mnaenda kumwagia bomu ilo lenu mkuu wa wilaya huskubar kupokea bomu ilo.
Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Chipakati, watu walishazoea kupata fedha za bure. Hali hii ilipelekea kutokuwa na nidhamu katika usimamizi wa fedha. Upumbavu kama huu ndo unapelekea wahitimu wengi kuichukia Bodi ya Mikopo. Jamani, tukikopa tuwe na nidhamu ya kulipa. Muda wa 'Sadakalawe' na 'Mashamba ya Bibi umeisha'. Tukikopa tulipe la sivyo tutawajibika tu.Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Ndugu chipakati nielewe hoja yangu inakenga nn?lakin pia ww unadhani ninailaumu benki ya kilimo mm nina walaumu watendaji wa benki hii maana wakat wanaaanza operation tuliwaonya wasfanye ujinga kama ulio fanywa na watendaji wa TIB, au wasirudie ujinga mkubwa uliofanywa na TEMU na mwenzake na wenzekar wengi kutoka CRDB najua ww ni mnufaika wa mikopo ya miwa kutoka crdb kupitia vyama vya ushirika ila kwa nn hamkulipa kwa wakati ingawa pesa mliyokopeshwa sehemu kubwa ilibakia crdb?je benki ya kilimo utapingana na mm kuwa imerudia makosa ua crdb na TIB na mwishowe changamoto kwa wakulima ziko pale pale?Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Ndugu yangu Sifi leo Ntakuja Kijiweni Mang'ula Kutembea Ila Nanshukuru Mungu Nimekuwa Na Kipaumbele Cha Kulipa Mikopo Hasa Hii ya Miwa Najua Mikopo Haijawahi kumuacha Mtu salama Hasa Tunapoweka Dhamana Haya Mashamba Yetu Na Ujanajua Pia Ugumu wa Kulipata Shamba la Miwa Najutahidi sana Napochukua Mkopo Kucheza na Miwa Na Mpunga So Kuna Muda Kimoja Kinambeba Mwenzake. Ki ukweli watu wa Mkula Scheme hasa Viongozi waliniuzi sana Wanajua Nina Shamba na Nina Lima wakakaya Majina Na Kuweka Ndugu na Jamaa zao wenginr hawana Hata Mashamba Sasa hv Linawakuya la Kuwakuta eti wanaanza Kukimbia Tulipiga sana Kelele ila Namshukuru Mkuu wa Wilaya Kusimamka Zoezi la Uchaguzi angala Sasa Uongozi Mpya Unajitahidi Kusafisha Uchafu uliokuwa unafanywa Viongozi wetu wengi wa Vyama vya wakulima Shule ndogo na wengine uwezo wa Kufikiri Yaani Hapa Mkula Niliukia sana Kuziona Mashine tulizopewa Kwa Msaada zinakufa Tena Bado Mpya Ila aliyekuja sasa kazifufua Namsifia kwa Hilo.... Karibu na Wewe Miwangani Tuhangaike na Miwa.....Chipakati umelipa mkopo wa miwa wa crdb? Haahahahaha kama ujalipa jipange kaka project ya miwa haijawai muacha mtu salama
mim ni mkufunzi wa ushirika nataman vyama vyenu hivyo navyo vibadilike viwe na nguvu km ushirika.Ndugu yangu Sifi leo Ntakuja Kijiweni Mang'ula Kutembea Ila Nanshukuru Mungu Nimekuwa Na Kipaumbele Cha Kulipa Mikopo Hasa Hii ya Miwa Najua Mikopo Haijawahi kumuacha Mtu salama Hasa Tunapoweka Dhamana Haya Mashamba Yetu Na Ujanajua Pia Ugumu wa Kulipata Shamba la Miwa Najutahidi sana Napochukua Mkopo Kucheza na Miwa Na Mpunga So Kuna Muda Kimoja Kinambeba Mwenzake. Ki ukweli watu wa Mkula Scheme hasa Viongozi waliniuzi sana Wanajua Nina Shamba na Nina Lima wakakaya Majina Na Kuweka Ndugu na Jamaa zao wenginr hawana Hata Mashamba Sasa hv Linawakuya la Kuwakuta eti wanaanza Kukimbia Tulipiga sana Kelele ila Namshukuru Mkuu wa Wilaya Kusimamka Zoezi la Uchaguzi angala Sasa Uongozi Mpya Unajitahidi Kusafisha Uchafu uliokuwa unafanywa Viongozi wetu wengi wa Vyama vya wakulima Shule ndogo na wengine uwezo wa Kufikiri Yaani Hapa Mkula Niliukia sana Kuziona Mashine tulizopewa Kwa Msaada zinakufa Tena Bado Mpya Ila aliyekuja sasa kazifufua Namsifia kwa Hilo.... Karibu na Wewe Miwangani Tuhangaike na Miwa.....