ONG'WASAMBA-Busega
Member
- May 20, 2014
- 31
- 8
Najiuliza, kwa nini ccm hamtaki kukubali kushindwa ila mnataka wenzenu waweke sahihi zao haraka?? Angalia kule Tanga, Nundu anakataa mpaka aje kubembelezwa, angalia kule Moshi yaani ccm ni taab tupu. Angalia Shinyanga. Jaman asekubai kushindwa si mshindani.
Basi nafikiri vyombo vya habari ndiyo vimeripoti vibaya. Vilisema walenda viongozinw a serikali na chama kumwomba akubali nfiyo akakubali! Ilinishangaza kifogo kwa jinsi ninavyomfahamu Mh. Nundumkuu ukisema ukweli.utapungukiwa nini.
NUNDU kakubali matokeo mapema na kusema anaenda kuendelea na kazi zake ila.wewe unaleta.story za.ajabu
Mapambano bado yanaendelea uku baina ya polisi na wananchi ni mabomu ya machozi tuu.
Ndembe ndembe, kifo cha mende, kwisha kabisa.Ukawa hoyeee
Mwakasaka kashinda ndio katangazwa