Habarii zenuu wanajamviii naombaa mnisaidiee ninatablet yanguu ya samsung tab2 imenigomea kufanya kazi nikiiwashaa haidisplay application zake kwenye screen inaonyesha ka mwangaa sijui nini ?
Na wapii nawezaa kupataa tablet nzuri ya samsung kwa 400k yenye ram GB32 yenye kuweka laini