Simu bado ipo kwenye condition nzuri, haina crake wala mchubuko kwenye screen, inahifadhi chaji, ina nchi 7, 16 Gb na 1 Gb Ram, kwa 180,000 tu, unapata na Flip cover yake.
Simu bado condition yake ni nzuri, ina protector iliyonunuliwa nayo, flip cover kama unavyoona na betri yake inatunza chaji sana tu. Screen yake ni HD.