si nimekwambia hapo juu inaitwa mid tablet for more information ni pmtaja jina lake ili ni google specification zake.....
sina mkuu ninayo hii moja tuhaya umesomeka! Size ya 10.1" ipo?
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki mbili<200,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378
Hizi product zitakuwa na matatizo coz naona zinauzwa sana tena kwa bei chee kuna mtu mwingine amepost anauza kama hiyo kwa laki moja mpya
inaingiza line??
Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na nusu<150,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378
inaingiza line??
Austin inakuwaje na 3G wakati huku unasema haina sehemu ya line?haiingizi
so internet inakua ya kulipia bundle or?then punguza bei am interested with the device
inatumia wifi also bei inapungua had 140
Vp hii Tablet bado ipo? 0655006401 or 0755006401Guyz nauza tablet aina ya mid android tablet inch 7 ina kamera,wifi<wireless internet > ,gps, 3g,browser , camcoder, antivirus,notepad , gallery na vinginevyo price yake ni laki na nusu<150,000> tu but but bei inapungua tablet hii ni used ....the main aim ya kuiuza ni ku-make enough money to buy an ipad.........picha yake hiyo hapo chini kwa anayetaka kuinunua ani pmView attachment 64378