Tabia ya 'kubambia' wadada kwenye daladala

Kweli huo mchezo umezoeleka sana hasa kwenye mabsi ya mbagara
 

mibazazi utaijua tu,tangu udogo inabazazia tu
 
Jamani kasema ana usafiri wake yamkini ni baiskeli, guta, au pikipiki labda tumuulize amesha maliza O level?
 
Jamani kasema ana usafiri wake yamkini ni baiskeli, guta, au pikipiki labda tumuulize amesha maliza O level?

Kama kiswahili tu kinakupiga chenga sijui kidhungu itakuaje!

Mwanzo kbs wa uzi wangu kuna phrase hii, "kipindi kile", halafu eti unauliza tena kama nimemaliza o'level! SIELEWIII!
 
Kama kiswahili tu kinakupiga chenga sijui kidhungu itakuaje!

Mwanzo kbs wa uzi wangu kuna phrase hii, "kipindi kile", halafu eti unauliza tena kama nimemaliza o'level! SIELEWIII!
That is a relative term can be yesterday or a hundred years so I was absolutely correct. yet I stop to argue with a fool people my not notice the difference...
 
Umeonae? Shukrani kwa benki zinazotoa mikopo kwa dhamana ya mshahara, bila kujali hata kama uko kwenye probation period.

mkuu ni benki gani hiyo wanayotoa mkopo kwa dhamana ya mshahara hata kama mtu yuko kwenye probation?nahisi kama unatufunga kamba hivi
 
That is a relative term can be yesterday or a hundred years so I was absolutely correct. yet I stop to argue with a fool people my not notice the difference...

Tehe...! hebu rejea comment yako, uliandika, "tumuulize amesha maliza O level?". Up to this point, ishu ya whether nimemaliza or not ndio iko kwenye "dispute" na sio lini nimemaliza. Sasa ile phrase "kipindi kile" kwenye uzi wangu inaashiria nimeshamaliza tayari, ishu ya "when" haihusiki kbs hapa, ww ulitaka tu kujua kama nimemaliza au bado.

I think u are the FOOL.
 
ok tumekusoma unatushauri nini? tununue magari wa kubambwa wasibambwe? usafiri wa dalala ni mzuri kwa wanao balehe? au tucheke ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…