D Detective Dee Member Joined Sep 20, 2015 Posts 51 Reaction score 17 Nov 15, 2018 #1 Ndug zangu kam kuna mtu anaye ijua taasisi au shirika au kampuni yoyote inayotoa msaada wa kuwasomesha wanafunzi wa elimu ya juu naomba tujuzane ili walengwa waweze kupata huo msaada asanteni.
Ndug zangu kam kuna mtu anaye ijua taasisi au shirika au kampuni yoyote inayotoa msaada wa kuwasomesha wanafunzi wa elimu ya juu naomba tujuzane ili walengwa waweze kupata huo msaada asanteni.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,553 Reaction score 23,914 Nov 15, 2018 #2 Ni makanisa tu ndo nadhani akienda na akajieleza vizuri atapata lakini taasisi hazipo..wengi wangeshaenda na kusingekuwa na kilio juu ya heslb
Ni makanisa tu ndo nadhani akienda na akajieleza vizuri atapata lakini taasisi hazipo..wengi wangeshaenda na kusingekuwa na kilio juu ya heslb
kunta93 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 770 Reaction score 1,657 Nov 15, 2018 #4 Taasisi nyingi hazisomeshi vilaza zinataka watu waliochapa one..bongo ukishakoswa na heslb inabidi ujiunge jeshi tu
Taasisi nyingi hazisomeshi vilaza zinataka watu waliochapa one..bongo ukishakoswa na heslb inabidi ujiunge jeshi tu
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,183 Nov 16, 2018 #5 Unaenda kusomea nn
henryloso15 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2018 Posts 209 Reaction score 166 Nov 16, 2018 #6 Uskatee tamaa na bodi ya mikopo wasumbue mpaka tone la mwisho watakusomesha kma una sifa za kusomeshwa na HESLB
Uskatee tamaa na bodi ya mikopo wasumbue mpaka tone la mwisho watakusomesha kma una sifa za kusomeshwa na HESLB
D Detective Dee Member Joined Sep 20, 2015 Posts 51 Reaction score 17 Nov 16, 2018 Thread starter #7 Nitawasumbua mpka mwisho mkuu lkn pia inafaa kuangalia na alternative way mkuu henryloso15 said: Uskatee tamaa na bodi ya mikopo wasumbue mpaka tone la mwisho watakusomesha kma una sifa za kusomeshwa na HESLB Click to expand...
Nitawasumbua mpka mwisho mkuu lkn pia inafaa kuangalia na alternative way mkuu henryloso15 said: Uskatee tamaa na bodi ya mikopo wasumbue mpaka tone la mwisho watakusomesha kma una sifa za kusomeshwa na HESLB Click to expand...