TAARIFA= nilikuwa nimetekwa.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,856
Kwa muda mrefu kweli nilikuwa sijaligusa jukwaa la chit Chat yote ni kwa sababu nilikuwa nimetekwa na jukwaa la Siasa,si mnajua tena kale kamchakato cha kwenda kula kuku V§ Banga plus mahunjumati pale kwenye white house a.k.a casablanca bench mambo yamepamba moto.
Nilitekwa nikatekeka kimtindo fulani hivi mpaka inakera yani.
Kila kona siaaasa siasa yani watu wapo tayari kutukaniwa wazazi wao kuliko vyama vyao,maajabu mapya ya Tz.
Napenda kuwasalimu,habari za hasubuhi majirani zanguuuuuuuuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…