Taarifa kwa wanafunzi waliochaguliwa SUA

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Habar wanasuaso, Serikali ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha SOKOINE CHA KILIMO inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza.

Pia Serikali ya wanafunzi kwa kushirikiana na utawala tayari imeweka utaratibu wa utoaji wa huduma ya malazi kwa Wanafunzi wote watakaofika chuoni kabla ya kukamilisha usajiri.

Hii itasaidia wanafunzi wageni kutoingia gharama ya kulala gesti siku za awali. Taarifa hii naomba tujitahidi aliisambaza kwa wengine ili wapate huduma stahiki.

IMETOLEWA NA WAZIRI MKUU SUASO (0768975583) Karibuni sana
 
Karibun xana first year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…