wewe unalalamika leo wakati chuo mnafungua wiki ijayo? pesa imekata unakumbuka kujisomea sasa. pole sana
Kuna mwalimu wenu moja anasemaga chuo hicho kimejegwa kama mabanda ya kuku. Sijui wa Communication Skills mweupe mfupi kafanana na.....
Kuna mwalimu wenu moja anasemaga chuo hicho kimejegwa kama mabanda ya kuku. Sijui wa Communication Skills mweupe mfupi kafanana na.....
mimi mwenyewe mwanafunzi wa t.i.a sasa wewe unasoma nini wkt semister imeisha na matokeo hayajatoka? tatizo sio chuo tatizo wewe
Du! Unasomea mtihani tu,we ni mwanafunzi wa vodafasta.
tukienda tunasoma masomo mengine siyo yale yaliyopita sasa je anasoma kitu gani?
mimi mwenyewe mwanafunzi wa t.i.a sasa wewe unasoma nini wkt semister imeisha na matokeo hayajatoka? tatizo sio chuo tatizo wewe
YOUR LOVE;Wandugu naomba mnisaidie kulielewa hili maana akili yangu hapa imegoma kuelewa, nijuavyo mimi high learning institution huwa zinahamasisha watu kijisomea hata kama vyuo vimefungwa, sasa cha kushangaza hapa TIA chuo kweli kimefungwa na madarasa wamefunga (hilo ni sawa kwa usalama), ila hata kusomea chini ya miti wanakataza kabisa,
- je wanahofia vibweta vitaibiwa? au miti yao itakauka?
Nahaswa hapa bongo mazingira ya kujisomea kwenye nyumba zetu za kupanga ni magumu kabisa, tulitegemea sisi ambao ni slow leaner kutumia muda huu wa likizo kujisomea ili vitu vikae kichwani but vyuoni kwenyewe tunafukuzwa sasa tuende wapi?