Symbion Power: Intelligence watupu

JK alivyouza nchi kwa majasusi wa nje
huwezi amini mkuu, ila 90% ya wafanyabiashara wa madini toka ulaya wanaokuja afrika, waliwahi kutumika katika majeshi yao huko watokako, na asilimia kubwa kwenye vikosi maalum, unabakia kujiuliza ajenda yao kuu ni nini, hakuna raia wa kawaida anayefanya hiyo biashara ukikuta ni mmoja kati ya kumi.
 
Duu..watu wana fukunyua sana mambo
hapa nimepata mafaili mapya kabisa kichwani
mwangu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…