Symbion Power: Intelligence watupu

kwa maana nyingine escrow ni vita ya hawa na wale wa ndani kumbe kafulila kazi yake ndogo

Umeitafsiri Visivyo.

Ni kwamba Biashara Ya Railimali kama madini ..Mafuta .. Umeme inatawaliwa na ufisadi wa nguvu sana kimataifa. Na ili kuifanya inahitaji ..Uzalendo na Intelligence inayoeleweka .. Vinginevo don't try it at home ..Itakula kwako hata ufanye nini. NB Economic Hitman.
 
walizinduliwa pale ubungo alivokuja obama pakachezwa kampira flani tukapiga makofi
 
Bado unasimamia mtazamo huu? Please be informed that Caspian ya Rostam Aziz is one of MNCs zinazotekeleza malengo na majukumu ya EHM ...
 
Last edited by a moderator:
It is sad but the truth hawa jamaa wamekamata kila kona. Energy ndio msingi wa kila kitu na ndio nguzo ya maendeleo!


 




Resident Dr.Jakaya Mrisho Kikwete welcomes to The State House the Chief Executive Officer of Symbion Power Company Mr. Paul Hinks yesterday.
 
Last edited by a moderator:

BUK naomba u connect hizi dots: - mitambo ya dowans iuzwe (inunuliwe na Tanesco) + ujio wa mama bill maalum kutembelea mitambo + zero kelele kutoka pande zote za wanasiasa+ kujitanua kupitia MCC nk.
 
Huku si tunaona sawa tu wanasiasa kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama!!!!!???
Si tunaona sawa tu watoto wote wa wanasiasa kuwa wabunge na mawaziri, kuwaenzi baba zao??!!

Si tunaona sawa tu wakereketwa wa vyama ndio wawe waamuzi wa masuala nyeti???!!

Intelligence ikiheshimika na kupewa nafasi yake nchi huwa na heshima sana, kinyume chake ni aibu, dharau, dhihaka, majuto, hasara na kama hayo!!!!!
 
hivi kwanini wabunge wetu hupenda kuwasakama wazawa wenzao, hawa si mbioni kimya yaani watu wameufyata, njoo kwa kaka ruge, kila mtu ruge ruge ruge ruge tiba ruge ruge tiba, nko zenu.
 
hivi kwanini wabunge wetu hupenda kuwasakama wazawa wenzao, hawa si mbioni kimya yaani watu wameufyata, njoo kwa kaka ruge, kila mtu ruge ruge ruge ruge tiba ruge ruge tiba, nko zenu.
Achilia mbali uwezo hafifu sana wa baadhi ya wabunge, na ongezeko la wanaojua kusoma na kuandika tu, lakini ulitaka wasakamwe kwa lipi labda??!!
Unapoona dalili za intell. wengi katika jambo fulani basi ujue hapo kuna "bait and shake" ambayo haiachi traces za kisheria kuwabana!!!

Watch it closely! !!
 

ni vyema basi tuhoji na kujiridhisha kama wako kihalali, zitto alimshushua muhongo akamwambia songas wanalipwa mara tatu ya iptl na bado wanatumia gas ya bure afadhali iptl wananunua japo diesel, lakini sikuona zzk akipata saport yeyote yaani kama alipenga kamasi tu
 
Kaka political enterprenuership ndio ugonjwa unaotuua na tiba yake ni solid intell ambayo tunayo ila vibrancy yake imebanwa baaas hilo tu tukiliweza we are better off!!!
 

kwa lugha rahisi hawa ni...majambazi....wahuni wenye dola yenye nguvu.....
 
Kaka.....saluti.......yo a real great thinker...your level of insight...inspires....😛eace:
 
naomba kuuliza wahusika wakuu ili watanzania tuelewe hiyo kampuni ya simbion inayoshugulika na umeme ya nani huku mitaani wanasema ya fisadi papa ya lowasa ni kweli?

tunaomba wahusika mtusaidie kwa hilo
 
Zamani Nyerere alipigana kupata umeme wa Hydro kule Kidatu , Pangani , nyumba ya mungu na Mtera.
Kukawa na ukame lakini sio wa kuendela miaka ya karibuni kulikuwa mpaka na alnino na pia mvua za masika zimekua kubwa sana. Lakini serikali zetu hizi baada ya mwalimu hawana fikra sawa sawa. Ni walaji zaidi na sio wazalendo kabisa.
Makampuni ya mafuta na gesi huwa hawapendelei muzalishe umeme wa maji , wao wanataka kuja kujiingiza nchi hizi wauze gesi na wazalishe umeme

Kule Misri walitaka kujenga Aswan high Dam , mabeberu walikataa na Gamal Abelnassir rais wa misri akaachana nao akaenda USSR na likajengwa. USA walimwambia hapa haliwezi kujengwa..leo miaka 50 lipo.

Hivyo hapa wazungu hawa watapiga kila kampeni kuhakikisha hamzalishi umeme wa maji kwani ni rahisi na wao watakosa kuuza mafuta na kuendesha hio mitambo na kukosa njia ya kutu control kiuchumi.

Kama hatupati kiongozi mbunifu na anae ona mbali tutaendelea kunyonywa milele dumu huku tunakenua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…